Wasanii wa Bongo na ulimbukeni wa ishara za mikono kwenye video

Daley took 'em out them Crown Vics and bought 'em Tahoes
In traffic, I don't panic when I see them police lights
I got them pigs in my pockets like Jody Weis
Hustling that white snow, temperature is ice cold
My workers serving with them cameras on the light-pole
Gangster Disciples, Black Stones, BDs
The biggest street gang is the C-P-D.
 
Kwani ni lazima kuku ja mavidole kwani kina mubaraka mwinshehe walikuwa wanafanya hivyo. Wewe kibongo bongo unamuelewaje mtu anayerusha kidole kidogo cha mwisho juu kama james delicious?
Hoja yako ni sign au kumealewaje anayerusha kidole kama James delicious....simama na hoja yako usidundedunde.

Kuna tatizo mtu kutumia uwezo aliopewa na Mungu ??

Hao watu unaosema sign zao waiingia mkataba na Mungu kuwa aufanye mkono uwe na uwezo wa kujikunja hivyo hili iwe sign yao....is it reasoning??

Kundi fulani linikunja vidole viwili kwako tena watu wote Billion 6 Duniani hawaruhusiwi kukunja vidole kwa namna hio kisa watu fulani 10......INSANE BRAIN
 
Acha ku complicate mambo utapata taabu duniani. Hizo signs za vidole zinatumika kila sehemu duniani mfano wako umejikita SA kusema sijui hawazitumii, lakini videos nyingi duniani na hata mapozi ya picha watu wanaweka hizo signs za vidole. Kwahiyo hao wahuni wa USA ndiyo wana patent ya kuzitumia hizo sign peke yao hapa duniani? Msiwe mnaandika kujaza server.
 
Kwaiyo mtu akitumia alama ya upinde wa mvua wewe utamuta mtu mwenye uhuru wa kutumia alama yoyote ile duniani kwani hakuna mtu mwenye hatimiliki ya alama. Poa basi wewe tumia alama ya upinde bas tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…