Ina maana hujui kama wanalipa kodi ............Unadhani kuna shoo au tamasha ambalo Serikali haichukui chake ..........Haujui kama kule Mkito.com wasanii wote wanaoweka nyimbo zao pale Serikali inachukua chao .........Hujui kama vifaa vyote vya muziki vinavyoingizwa nchini Serikali imeshachukua chao ..............???Kumekucha,
Mwanzo wanamuziki wabongo fleva na bongo muvi ilionyesha ni
Mojawapo ya kazi za kujikimu.
Ila kwa sasa naomba serikali iwabane walipe kodi haswa kwa wasanii waliopata mafanikio ya kimuziki kama diamond na kina
Lady jd!
Serikali kupitia nape mulikeni na hapo sio sisi wafanyakazi mnatukata mishahara kwenye laki3 zetu kila mwezi hao wanaonunua majumba wanakatwa kodi supermarket tu wakienda shopping!
Nchi kama amerika wasanii wote wanalipa kodi serikalini tena kwa shuruti.
Kwenye shoo sidhaniIna maana hujui kama wanalipa kodi ............Unadhani kuna shoo au tamasha ambalo Serikali haichukui chake ..........Haujui kama kule Mkito.com wasanii wote wanaoweka nyimbo zao pale Serikali inachukua chao .........Hujui kama vifaa vyote vya muziki vinavyoingizwa nchini Serikali imeshachukua chao ..............???
Hawalipi kodi za nyumba tu zinawashinda halafu walipe hiyo kwa pesa gani za fiesta aukodi wanalipa sema kwakuwa haupo kwenye hiyo industry ndo hujuh wanalipaje
Wana exempted kwenye kodi.hapa naongelea kodi ya moja kwa moja sio ya vifaa vya muziki wala katika matamasha.kwani wewe ukikatwa kodi mshahara wako halafu ukinunua friji hutakatwa kodi?!Kumekucha,
Mwanzo wanamuziki wabongo fleva na bongo muvi ilionyesha ni
Mojawapo ya kazi za kujikimu.
Ila kwa sasa naomba serikali iwabane walipe kodi haswa kwa wasanii waliopata mafanikio ya kimuziki kama diamond na kina
Lady jd!
Serikali kupitia nape mulikeni na hapo sio sisi wafanyakazi mnatukata mishahara kwenye laki3 zetu kila mwezi hao wanaonunua majumba wanakatwa kodi supermarket tu wakienda shopping!
Nchi kama amerika wasanii wote wanalipa kodi serikalini tena kwa shuruti.
Ina maana hujui kama wanalipa kodi ............Unadhani kuna shoo au tamasha ambalo Serikali haichukui chake ..........Haujui kama kule Mkito.com wasanii wote wanaoweka nyimbo zao pale Serikali inachukua chao .........Hujui kama vifaa vyote vya muziki vinavyoingizwa nchini Serikali imeshachukua chao ..............???