adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,638
Kumekucha,
Mwanzo wanamuziki wabongo fleva na bongo muvi ilionyesha ni
Mojawapo ya kazi za kujikimu.
Ila kwa sasa naomba serikali iwabane walipe kodi haswa kwa wasanii waliopata mafanikio ya kimuziki kama diamond na kina
Lady jd!
Serikali kupitia nape mulikeni na hapo sio sisi wafanyakazi mnatukata mishahara kwenye laki3 zetu kila mwezi hao wanaonunua majumba wanakatwa kodi supermarket tu wakienda shopping!
Nchi kama amerika wasanii wote wanalipa kodi serikalini tena kwa shuruti.