Marekani hata kunyanduana midume ni haki ya kila raia.
lakini sio ref ya uzuri wa jambo lenyewe.
Hapa ni Tanzania sio Marekani. Sasa wewe leta Umarekani wako hapa uone.We umeona Twitter trump anavyotukanwa kila siku tena kwenye post zake na ni matusi makubwa na watu hawafichu ID zao
nashangaa nyinyi mnaficha ID bongo[emoji16][emoji16].We umeona Twitter trump anavyotukanwa kila siku tena kwenye post zake na ni matusi makubwa na watu hawafichu ID zao
Hapa ni Tanzania sio Marekani. Sasa wewe leta Umarekani wako hapa uone.
nashangaa nyinyi mnaficha ID bongo[emoji16][emoji16].
mnasumbua watu wakati ni haki yenu kikatiba kukosoa,kutukana,na hata kudhihaki.
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Umemjibu sawa sa kabisa lkn ni ngumu sana yeye kukuelewaKuna mdau hapo juu amesema hata marekani hawapo hivo ndo nimemjibu kwamba marekani na huku ni tofauti
uHuyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
MkuuHuyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Amejitakia mwenyewe acha avune alichopanda.Habari wakuu,
Waswahili waliosema kufaaye kwa dhiki ndiye rafiki hakika waliona mbali na hawakukosea.
Msanii Idris Sultani (comedian) kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa ya kimtandao. Kama msanii ilivyo kawaida kwa wasanii wote wanapokuwa na matatizo mbalimbali, huungana pamoja kuweza kumsaidia mwenzao hata kwa kumfariji tu.
Hali imekuwa tofauti awamu hii kwa msanii huyu aliyewahi kushinda BBA 2014, kwa sasa hakuna msanii yeyote yule mwenye kuonesha kushirikiana nae, kumfariji, kumsaidia kutatua tatizo wala hata kumpost tu katika social network.
Watanzania hususani watu wake wa karibu wote wamemgeuka, hili ni funzo kwetu si kila anaekuchekea anakutakia mema wengine ndio hivyo wanafurahia unapokuwa unapitia mabovu katia maisha.
Kuna kipindi nilienda kumuona rafiki mahabusu hapo mabatini dar, mzee mmoja polisi wa guard matata sana pale kwa kuwapeleka puta mahabusu akawa anawaambia mahabusu kuwa HUKU NDIO MTAWAJUA WALE NDUGU, jamaa na marafiki wanaowapenda na kuwajali. Akaongeza huku na HOSPITALI ukiwa umelazwa!Habari wakuu,
Waswahili waliosema kufaaye kwa dhiki ndiye rafiki hakika waliona mbali na hawakukosea.
Msanii Idris Sultani (comedian) kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa ya kimtandao. Kama msanii ilivyo kawaida kwa wasanii wote wanapokuwa na matatizo mbalimbali, huungana pamoja kuweza kumsaidia mwenzao hata kwa kumfariji tu.
Hali imekuwa tofauti awamu hii kwa msanii huyu aliyewahi kushinda BBA 2014, kwa sasa hakuna msanii yeyote yule mwenye kuonesha kushirikiana nae, kumfariji, kumsaidia kutatua tatizo wala hata kumpost tu katika social network.
Watanzania hususani watu wake wa karibu wote wamemgeuka, hili ni funzo kwetu si kila anaekuchekea anakutakia mema wengine ndio hivyo wanafurahia unapokuwa unapitia mabovu katia maisha.
Kuna kipindi nilienda kumuona rafiki mahabusu hapo mabatini dar, mzee mmoja polisi wa guard matata sana pale kwa kuwapeleka puta mahabusu akawa anawaambia mahabusu kuwa HUKU NDIO MTAWAJUA WALE NDUGU, jamaa na marafiki wanaowapenda na kuwajali. Akaongeza huku na HOSPITALI ukiwa umelazwa!
Nafikiri sinza ile au kijitonyama! Kona bar unanyoosha na barabara inayoenda ndani, shekilango road unaiacha! Mabatini unaikuta mbele huko...Hapa dar kituo cha mabatini kipo sehemu gani