Wasanii wa Bongo wamtelekeza Idris, hakuna aliyeenda kumwangalia wala kumpost

We umeona Twitter trump anavyotukanwa kila siku tena kwenye post zake na ni matusi makubwa na watu hawafichu ID zao
Marekani hata kunyanduana midume ni haki ya kila raia.

lakini sio ref ya uzuri wa jambo lenyewe.
 
Umepitwa na ule msemo usemao, "kila mchuma janga hula na wakwao".
 
Tatizo mnaleta Umarekani Tanzania...huyo dogo Idris wacha avune alichopanda. Wakati wote lazima ujue kuishi kwa taratibu za mahala ulipo...Uhuru wa Marekani na kwingine hata Tanzania hau-apply! Idris aliwahi kamatwa kabla kwa mambo kama haya why hakujifunza? au ndio hao "Followers" mnaowagombania huko kwenye mitandao wanawafanya mtokwe na akili?
 
We umeona Twitter trump anavyotukanwa kila siku tena kwenye post zake na ni matusi makubwa na watu hawafichu ID zao
Hapa ni Tanzania sio Marekani. Sasa wewe leta Umarekani wako hapa uone.
 
nashangaa nyinyi mnaficha ID bongo[emoji16][emoji16].

mnasumbua watu wakati ni haki yenu kikatiba kukosoa,kutukana,na hata kudhihaki.
 
Kuna mdau hapo juu amesema hata marekani hawapo hivo ndo nimemjibu kwamba marekani na huku ni tofauti
Hapa ni Tanzania sio Marekani. Sasa wewe leta Umarekani wako hapa uone.
 
Unataka ufe?huku hawaangalii uhuru wako na hizo sheria wanafuata wanazotaka wao
nashangaa nyinyi mnaficha ID bongo[emoji16][emoji16].

mnasumbua watu wakati ni haki yenu kikatiba kukosoa,kutukana,na hata kudhihaki.
 
Hivi jamaa alichekaje😂😂😂😂
Huko aliko bado anaangusha cheko
 
.
20200524_094541.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA ipi unayo izungumzia wewe ...eka kumbukumbu ya kesi kama hii,ilio tokea huko na mtu kufungwa idrisa haja fanya vyema na in binafsi siungi mkono KWAKUA amekosa kujifunza na kwenda na wakati kulingana na lililo mkuta nyuma.. ila hili la kusema USA angefungwa naomba kawalishe matango pori wenzako wa FACEBOOK wala sio hapa
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !

Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
u

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !

Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Mkuu
Dhihaka???? Kwahyo Wale waliopost video Ya "fent fodi " nao walimdhihaki rais???

Wale waliolinganisha kanzu yake na ya lowasa walimdhihaki rais??

Vipi masoud kipanya anayechora lile komwe la rais naye anamdhihaki rais????

Sent from CHATOusing JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu,

Waswahili waliosema kufaaye kwa dhiki ndiye rafiki hakika waliona mbali na hawakukosea.

Msanii Idris Sultani (comedian) kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa ya kimtandao. Kama msanii ilivyo kawaida kwa wasanii wote wanapokuwa na matatizo mbalimbali, huungana pamoja kuweza kumsaidia mwenzao hata kwa kumfariji tu.

Hali imekuwa tofauti awamu hii kwa msanii huyu aliyewahi kushinda BBA 2014, kwa sasa hakuna msanii yeyote yule mwenye kuonesha kushirikiana nae, kumfariji, kumsaidia kutatua tatizo wala hata kumpost tu katika social network.

Watanzania hususani watu wake wa karibu wote wamemgeuka, hili ni funzo kwetu si kila anaekuchekea anakutakia mema wengine ndio hivyo wanafurahia unapokuwa unapitia mabovu katia maisha.
Amejitakia mwenyewe acha avune alichopanda.
 
Kuna kipindi nilienda kumuona rafiki mahabusu hapo mabatini dar, mzee mmoja polisi wa guard matata sana pale kwa kuwapeleka puta mahabusu akawa anawaambia mahabusu kuwa HUKU NDIO MTAWAJUA WALE NDUGU, jamaa na marafiki wanaowapenda na kuwajali. Akaongeza huku na HOSPITALI ukiwa umelazwa!
 
Hapa dar kituo cha mabatini kipo sehemu gani
Kuna kipindi nilienda kumuona rafiki mahabusu hapo mabatini dar, mzee mmoja polisi wa guard matata sana pale kwa kuwapeleka puta mahabusu akawa anawaambia mahabusu kuwa HUKU NDIO MTAWAJUA WALE NDUGU, jamaa na marafiki wanaowapenda na kuwajali. Akaongeza huku na HOSPITALI ukiwa umelazwa!
 
Akifika Segerea atalala kwenye kirago cha mnyapara, hawezi kupata tabu kabisa.
 
Back
Top Bottom