Wasanii wa Bongo wamtelekeza Idris, hakuna aliyeenda kumwangalia wala kumpost

Wasanii wa Bongo wamtelekeza Idris, hakuna aliyeenda kumwangalia wala kumpost

Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
921
Reaction score
1,659
Habari wakuu,

Waswahili waliosema kufaaye kwa dhiki ndiye rafiki hakika waliona mbali na hawakukosea.

Msanii Idris Sultan (comedian) kwa sasa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa makosa ya kimtandao. Kama msanii ilivyo kawaida kwa wasanii wote wanapokuwa na matatizo mbalimbali, huungana pamoja kuweza kumsaidia mwenzao hata kwa kumfariji tu.

Hali imekuwa tofauti awamu hii kwa msanii huyu aliyewahi kushinda BBA 2014, kwa sasa hakuna msanii yeyote yule mwenye kuonesha kushirikiana nae, kumfariji, kumsaidia kutatua tatizo wala hata kumpost tu katika social network.

Watanzania hususani watu wake wa karibu wote wamemgeuka, hili ni funzo kwetu si kila anaekuchekea anakutakia mema wengine ndio hivyo wanafurahia unapokuwa unapitia mabovu katika maisha.
 
USA ya wapi unaongelea? Au ya Arusha? Marekani mtu anaweza aka tweet 'f $%uck you trump" na akamtag trump mwenyewe asifanywe kitu. Usitake kupotosha umma.
Marekani hata kunyanduana midume ni haki ya kila raia.

lakini sio ref ya uzuri wa jambo lenyewe.
 
Huwa nasema kila siku Idris analazimisha kipaji.. kitu anachofanya sio chake halafu watu wengi hawamuelewi. Wakati umefika ajitathmini na kuacha kabisa inshu ya ukomediani
Hayo uliyoandika yanahusiana vipi na hii mada? na unaanzaje kusema Idris sio comedian ikiwa wewe tu ndio hucheki?

Tafuta kazi ya kufanya mtoto wa kiume chuki haikusaidii!
 
Hayo uliyoandika yanahusiana vipi na hii mada? na unaanzaje kusema Idris sio comedian ikiwa wewe tu ndio hucheki?

Tafuta kazi ya kufanya mtoto wa kiume chuki haikusaidii!
Sina guts na mtu yoyote... Mpe salam zangu Idris
Mwambie "ni bora zaidi kutembeza rungu kama akina Calisah kuliko anayofanya"
 
Back
Top Bottom