Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Idris alifanya kosa la kwanza la utani kwa Mh Rais akahenyeshwa Central alafu hata miezi 6 haijapita anamtania tena Mh Rais
Huyu alifanya kosa huku akijua ni kosa, unaanzaje kumuonea huruma muache apambanie kombe mwenyewe
Ukisema anafosi kipaji unaonekana humpendi yaani kakosa content zingine mpaka ile ile ya Rais
Ndio maana ya mahakama kuwepo. Kutafsiri sheria.Nani amesema lile ni kosa kucheka kuna kosa gani...kwani alizungumza kitu pale...No-sense
USA gani hii ya USA RIVER ama UNITED STATE OF AMERICA? Jitambue na ujielewe hakuna Rais anayechorwa kama Rais wa MarekaniHuyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Unaweza kuchukua picha ya baba yako ukaiweka mtandaoni ukaanza kucheka kwa kejeli? Acheni kutumika vibaya mtaumia. Huyu jijaba hana adabu hata kidogo na ndio maana wasabi wenzake wamempotezeaUnamdhihaki vipi wakati picha alipiga mwenyewe? Ni kama leo chaputa wakitumia picha za kidoti ambazo aliposti yeye mwenyewe
Unaonesha ni jinsi jinsi gani usivyo na adabu wala heshima kwa wakubwa zako. Kama umeolewa mumeo amepata hasara kubwa sana.Sikai kwa shemeji nitake radhi. Anyways Raisi sio mungu eti hakosolewi. Trevor Noah katengeneza career yake kwa kumsimanga trump kupitia show yake. Mimi sio fan wa trevor noah na idriss sultan lakini kama mtu mzima anatakiwa kua na hekima. Sio kila vita lazma aipigane. Watu kama idris ni insignificant sana kumtesa hakutosaidia wala kumuongezea heshima mkulu. Bali inakua kinyume.
Sent From Galaxy S20 Ultra
Usa river ya Arusha au??Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
Achana naye hilo Bia yetu, mshamba mmoja.ahahahahahahhaha.......... 😆 😆 😆 😆 😆 😆 yani wewe ndo haujielewi kabisa....marekani hawani huo upunguani....Raisi wa Marekani huwa anadhihakiwa na kutukanwa kuliko hata hili alilolifanya Idriss...
Hoja hujibiwa kwa hoja. Huna hoja umeamua kuni attack personally. Chuki binafsi.Unaonesha ni jinsi jinsi gani usivyo na adabu wala heshima kwa wakubwa zako. Kama umeolewa mumeo amepata hasara kubwa sana.
God save us
Mimi namlaumu Albert bashite nahisi mkono wake upo katika hili japo hakutamka hadharani kama alivyofanya kipindi kile.Haya majinga ya CCM yanamuabudu huyo bwege kama Mungu , kuna comedy show ya Bill Maher hiyo ya Trevor Noah ni cha mtoto , huyu Bill Maher ni habari nyingine kuna kipindi mpaka battle Yao ilikuwa habari ya mjini tweeter .
Watu mnaongea tu vitu msivyovijua. Hata USA haujaishi halafu unadiriki kuweka theory kuihusu. Marekani Snoop Dogg alitengeneza sanamu ya Trump akaipiga risasi. Kwa katiba ya USA (freedom of speech), ana haki ya kufanya hivyo. Imagine mtu atengeneze sanamu ya rais wa nchi ya Africa kama Tz halafu aipige risasi. Msiwe mnaandika vitu kwa kubuni buni tu. Kama mtu haujui kitu, ni heri ukanyamaza kimya.Huyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana
USA hawana sheria mbovu mbovu kama Tanzania na kingine mahakama zao (us) ziko huru sana kiasi cha kwamba inaamua ikiwa huru bila uogaHuyo kijana hajitambui anatafuta umaarufu wa mtandaoni kwa kumdhihaki Mkuu wa Nchi !
Huyu ingekuwa USA angefungwa jela miaka mingi sana