mnanda na singelimziki wa asili wa bongo ni upi?
Sidhani kama inahusiana na mada, hatahivyo Mavoko alikuwa ameshafulia na kukimbilia Kenya kabla hajarudishwa kwenye ramani na wcbDiamond alivyomsainisha Mavoko ni sawa na Kagere kusajiriwa Nanyumbu Fc yaani kumuua kiwango ili asiendelee kusumbua uwanjani
Itakua anaomba MZIGOHuyu dogo sijuagi anaomba nini sijui
Si mnaita Kisingeli uhuni, huo ndio mziki wetuNigerian flavour in the name of bongo flavour.
Sisi hatuna flavour za kwetu na hata kama zipo tumeshindwa kuwa wabunifu sana ukiangali nigeria beats zao zimetoka kwenye midundo ya nyimbo zao za asili wakazidevelop kisasa zaidi ona mambo yanavyonoga. Sisi tuna makabila mengi lakini maproducer wetu wameshindwa kuwa creative katika kuzalisha beats zitakazokuwa identity ya taifa letu katika dunia ya muziki, kwa kuwa ni wavivu wa kufikiri na kuleta ubunifu wacha wawe hivyo.
Kuna miaka ya nyuma kwaito kutoka south africa ilishika kasi angalia kilichotokea maproducer na wasaniii wakausahau utanzania wao wakaanza kutengeneza nyimbo zenye mahadhi ya kisouth africa.
Wakina cabo snoop wakiliteka soko la muziki africa mzee baba tujiandae kucheza Prakata Tumbaaa Atumbaaa.... Abaaabaa baaaaa baaa...baaaaaaa... Abaa.. Abaaabaa baaaaa baaa... Prakata tumba atumbaa.
jux kama jay z?Mi ndiyo maana sipendi bongo fleva, yaani wasanii wote ni fake. Vanessa na Jux wanajifanya Beyonce na Jay Z, tena hawa ndiyo wamezidi kuwa na mapenzi fake. Kwa kweli watanzania tunajitahidi sana kuua muziki wetu wa asili wa dansi kushabikia photocopy za Nigerians. Tunasikitisha mno kwani wasanii wa fleva wanaroga hata mashabiki wao!
jux kama jay z?
umejuaje ni mapenzi fake?
Mi ndiyo maana sipendi bongo fleva, yaani wasanii wote ni fake. Vanessa na Jux wanajifanya Beyonce na Jay Z, tena hawa ndiyo wamezidi kuwa na mapenzi fake. Kwa kweli watanzania tunajitahidi sana kuua muziki wetu wa asili wa dansi kushabikia photocopy za Nigerians. Tunasikitisha mno kwani wasanii wa fleva wanaroga hata mashabiki wao!