Wasanii wa bongofleva mnatia aibu kuwacopy wanigeria

Diamond alivyomsainisha Mavoko ni sawa na Kagere kusajiriwa Nanyumbu Fc yaani kumuua kiwango ili asiendelee kusumbua uwanjani
 
Sidhani kama inahusiana na mada, hatahivyo Mavoko alikuwa ameshafulia na kukimbilia Kenya kabla hajarudishwa kwenye ramani na wcb
 
Nigerian flavour in the name of bongo flavour.
Sisi hatuna flavour za kwetu na hata kama zipo tumeshindwa kuwa wabunifu sana ukiangali nigeria beats zao zimetoka kwenye midundo ya nyimbo zao za asili wakazidevelop kisasa zaidi ona mambo yanavyonoga. Sisi tuna makabila mengi lakini maproducer wetu wameshindwa kuwa creative katika kuzalisha beats zitakazokuwa identity ya taifa letu katika dunia ya muziki, kwa kuwa ni wavivu wa kufikiri na kuleta ubunifu wacha wawe hivyo.

Kuna miaka ya nyuma kwaito kutoka south africa ilishika kasi angalia kilichotokea maproducer na wasaniii wakausahau utanzania wao wakaanza kutengeneza nyimbo zenye mahadhi ya kisouth africa.

Wakina cabo snoop wakiliteka soko la muziki africa mzee baba tujiandae kucheza Prakata Tumbaaa Atumbaaa.... Abaaabaa baaaaa baaa...baaaaaaa... Abaa.. Abaaabaa baaaaa baaa... Prakata tumba atumbaa.
 
Si mnaita Kisingeli uhuni, huo ndio mziki wetu
 
Mi ndiyo maana sipendi bongo fleva, yaani wasanii wote ni fake. Vanessa na Jux wanajifanya Beyonce na Jay Z, tena hawa ndiyo wamezidi kuwa na mapenzi fake. Kwa kweli watanzania tunajitahidi sana kuua muziki wetu wa asili wa dansi kushabikia photocopy za Nigerians. Tunasikitisha mno kwani wasanii wa fleva wanaroga hata mashabiki wao!
jux kama jay z?
umejuaje ni mapenzi fake?
 
jux kama jay z?
umejuaje ni mapenzi fake?

Jux si mwanamuziki n wala haendani kabisa na muziki, akiimba au kurap anaoenekana kabisa kuwa fake, analazimisha mno. Mapenzi fake yanajulikana tu kwa sie wataalam…...
 
Si Nigeria tu, kukocopy ndio mfumo wao wa maisha. mtoto wa Tandale nae Kaaibikia majuzi.
 
Ila ki ukweli hio style ya kucheza nzuri sana hata ningekuwa mimi ningei copy
 
Mi ndiyo maana sipendi bongo fleva, yaani wasanii wote ni fake. Vanessa na Jux wanajifanya Beyonce na Jay Z, tena hawa ndiyo wamezidi kuwa na mapenzi fake. Kwa kweli watanzania tunajitahidi sana kuua muziki wetu wa asili wa dansi kushabikia photocopy za Nigerians. Tunasikitisha mno kwani wasanii wa fleva wanaroga hata mashabiki wao!

Punguza chuki mtoto wa kiume
 
Historia inaonyesha wabantu tumetokea west africa. Labda tunakopi kutoka kwa ndugu zetu sio mbaya.
 
Yeah...they need to be creative.
Lkn si mbaya kukopy k2 kizur..may be the way of showin apriciation...
 
Back
Top Bottom