Wasanii wa bongofleva wasio na mionekano ya kisanii kabisa

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Habari wanajamvi..hapa bongo kuna wasanii ambao ukiwaangalia na kuwafikiria,unaweza ukajiuliza "hivi huyu asingekuwa msanii angekuwa anafanya kazi gani"??.sasa mimi binafsi ninao wasanii kadhaa nitaorodhesha hapa ambao hawana kabisa muonekano wa kisanii
STAMINA huyu hata haendani na usanii kwanza ni kifupi na ni kitukunyema
DITO huyu ana sura fulani ya kilugaluga na havai kama msanii
DUDU BAYA na JUMA NATURE hawa wana sura mbaya na wamekomaa kama wanaishi vijijini
NIKKI WA PILI huyu haendani na usanii,na hata akivaa vipi huwa hapendezi,inapendeza angekuwa ni mwalimu wa sekondari
BONTA huyu jamaa bora aendelee na kazi yake ya udaktari.haendani na usanii kabisa
ongezea na wewe
NB:Bongo nzima hakuna msanii yeyote yule ambaye ana muonekano wa kisanii kama IZZO BIZNEZZ ,,huyu jamaa ukimuangalia tu kwa jinsi anavovaa,anavotembea,anavoongea,alivyo body yake,kifupi ana image ya kisanii kwelikweli kwa kila kitu..ila kasoro yake hajui kuchana vizuri siku hizi
 
acha majungu ,ufupi sio kilema usikosoe uumbaji WA mungu.wajudge kwa kazi zao Na Si vinginevyo.Modes nyuzi Kama hizo futilia mbali!
Tatizo lako unahemka sana,,hili ni jukwaa la mambo hayo,ni sehemu pekee ya kujadili muasuala haya
 
Na wewe je...maana naona umevaa mavazi ya MANGE tayari
 
Members wa jamii forums wasio na mwonekano wa kijamii forums, JUVENILE DAVIS huyu jamaa hafananii na jamii forums ni mlugaluga hana hoja za msingi mada zake ni pumba tupu hapa jukwaani, bora uendelee kuvuna ufuta kwenu huendani na jamiiforums
 
Imebidi nirudi kutazama Id yako mana Nimepata shida kujua kama unatoa mipasho au madongo
 
Ditto mbna Ni down town mkuu Sema Ni wale wana wapo simple wapole wanapenda kushinda hood kwao akiwa na kinsngleed na kibukta
 
Ww mbona hufanani na USHOGA,, una sura ngumu na msambwanda huna,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…