Uchunjuba Punjubi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 799
- 622
Swali zuriKuna uhusiano gani kati ya muonekano na usanii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zuriKuna uhusiano gani kati ya muonekano na usanii?
Yakhee Salama kwanza aaaIngekuwa haya maneno yametokea kwa wazanzibari mungelisema ni wabaguzi
kwa izzo sina cha kuongezeaHabari wanajamvi..hapa bongo kuna wasanii ambao ukiwaangalia na kuwafikiria,unaweza ukajiuliza "hivi huyu asingekuwa msanii angekuwa anafanya kazi gani"??.sasa mimi binafsi ninao wasanii kadhaa nitaorodhesha hapa ambao hawana kabisa muonekano wa kisanii
STAMINA huyu hata haendani na usanii kwanza ni kifupi na ni kitukunyema
DITO huyu ana sura fulani ya kilugaluga na havai kama msanii
DUDU BAYA na JUMA NATURE hawa wana sura mbaya na wamekomaa kama wanaishi vijijini
NIKKI WA PILI huyu haendani na usanii,na hata akivaa vipi huwa hapendezi,inapendeza angekuwa ni mwalimu wa sekondari
BONTA huyu jamaa bora aendelee na kazi yake ya udaktari.haendani na usanii kabisa
ongezea na wewe
NB:Bongo nzima hakuna msanii yeyote yule ambaye ana muonekano wa kisanii kama IZZO BIZNEZZ ,,huyu jamaa ukimuangalia tu kwa jinsi anavovaa,anavotembea,anavoongea,alivyo body yake,kifupi ana image ya kisanii kwelikweli kwa kila kitu..ila kasoro yake hajui kuchana vizuri siku hizi
Saaana ,,nashukuru sana mkuu umeelewa mada husika ya uzi huuTimbulo na Sunday Linex Mjeda. Hawa jamaa wawili vipaji wanavyo sema wanasura za kienyeji sana.
Kanikumbusha zamani ukimuona mchezaji mpira ana matege ya mbali na kajisiliba mafuta unaanza kupata mchecheto mpira ukianza haaa hakuna kitu.acha majungu ,ufupi sio kilema usikosoe uumbaji WA mungu.wajudge kwa kazi zao Na Si vinginevyo.Modes nyuzi Kama hizo futilia mbali!
Wewe ni me au ke?Ila stamina buana km mtunza bustan au mpishi wa shule
Ali kiba na Abdu KibaTimbulo na Sunday Linex Mjeda. Hawa jamaa wawili vipaji wanavyo sema wanasura za kienyeji sana.
dimond bora angekuwa kicheche mtaaniHabari wanajamvi..hapa bongo kuna wasanii ambao ukiwaangalia na kuwafikiria,unaweza ukajiuliza "hivi huyu asingekuwa msanii angekuwa anafanya kazi gani"??.sasa mimi binafsi ninao wasanii kadhaa nitaorodhesha hapa ambao hawana kabisa muonekano wa kisanii
STAMINA huyu hata haendani na usanii kwanza ni kifupi na ni kitukunyema
DITO huyu ana sura fulani ya kilugaluga na havai kama msanii
DUDU BAYA na JUMA NATURE hawa wana sura mbaya na wamekomaa kama wanaishi vijijini
NIKKI WA PILI huyu haendani na usanii,na hata akivaa vipi huwa hapendezi,inapendeza angekuwa ni mwalimu wa sekondari
BONTA huyu jamaa bora aendelee na kazi yake ya udaktari.haendani na usanii kabisa
ongezea na wewe
NB:Bongo nzima hakuna msanii yeyote yule ambaye ana muonekano wa kisanii kama IZZO BIZNEZZ ,,huyu jamaa ukimuangalia tu kwa jinsi anavovaa,anavotembea,anavoongea,alivyo body yake,kifupi ana image ya kisanii kwelikweli kwa kila kitu..ila kasoro yake hajui kuchana vizuri siku hizi
Asante kwa mchango wako mkuu..samahani kwa namna nilivoutoa uzi wanguUzi wako ni mzuri ila jinsi ulivyouwasilisha hapa umeonekana sio mzuri, Mimi binafsi ulivyomwelezea stamina sijapenda chief! Kuwa msanii hakutegemei umbo la MTU.,
Pamoja na yote naunga mkono kwa Nikki Wa pili alifaa kuwa mwalimu, maana ni MTU mtulivu sana anayajua mambo mengi kwa mapana, Nikki anafanya kazi ya muziki kwa kumfuata brother ake joh makini, yani tunaweza kusema Nikki anatembelea kivuli cha joh makini,, sema Nikki ana akili nyingi sana kumzidi bro wake, alijigundua hili game LA muziki pekeake hawezi kutoboa au atapotea mapema, akaamua kumshawishi bro wake watengeneze kundi lao ambalo Linaitwa WEUSI washirikiane katka kazi za muziki. Hii yote ni akili za Nikki kujilinda ili asipotee kwenye game LA muziki.. Ila kifupi Nikki yuko smart sana toka kichwani hadi kwenye maisha halisi.,Huwa namfwatilia sana hata istra Hafanani kuishi katika status ya usanii.
Ila yote kwa yote tunashauriwa tufanye kazi yoyote halali ili mradi mkono uende kinywani.
Go ahead Nikki.
Nimekuelewa mkuuAsante kwa mchango wako mkuu..samahani kwa namna nilivoutoa uzi wangu
Best comment of the thread..Members wa jamii forums wasio na mwonekano wa kijamii forums, JUVENILE DAVIS huyu jamaa hafananii na jamii forums ni mlugaluga hana hoja za msingi mada zake ni pumba tupu hapa jukwaani, bora uendelee kuvuna ufuta kwenu huendani na jamiiforums
Kumwambia mwanaume mwenzio eti ana sura mbaya ni dalili za ushoga ulio katika dalili za awali. Ila utamu wa mkuyenge ukikulea hutachagua sura.Habari wanajamvi..hapa bongo kuna wasanii ambao ukiwaangalia na kuwafikiria,unaweza ukajiuliza "hivi huyu asingekuwa msanii angekuwa anafanya kazi gani"??.sasa mimi binafsi ninao wasanii kadhaa nitaorodhesha hapa ambao hawana kabisa muonekano wa kisanii