Wasanii wa bongofleva wasio na mionekano ya kisanii kabisa

kwa izzo sina cha kuongezea
 
acha majungu ,ufupi sio kilema usikosoe uumbaji WA mungu.wajudge kwa kazi zao Na Si vinginevyo.Modes nyuzi Kama hizo futilia mbali!
Kanikumbusha zamani ukimuona mchezaji mpira ana matege ya mbali na kajisiliba mafuta unaanza kupata mchecheto mpira ukianza haaa hakuna kitu.
 
Uzi wako ni mzuri ila jinsi ulivyouwasilisha hapa umeonekana sio mzuri, Mimi binafsi ulivyomwelezea stamina sijapenda chief! Kuwa msanii hakutegemei umbo la MTU.,

Pamoja na yote naunga mkono kwa Nikki Wa pili alifaa kuwa mwalimu, maana ni MTU mtulivu sana anayajua mambo mengi kwa mapana, Nikki anafanya kazi ya muziki kwa kumfuata brother ake joh makini, yani tunaweza kusema Nikki anatembelea kivuli cha joh makini,, sema Nikki ana akili nyingi sana kumzidi bro wake, alijigundua hili game LA muziki pekeake hawezi kutoboa au atapotea mapema, akaamua kumshawishi bro wake watengeneze kundi lao ambalo Linaitwa WEUSI washirikiane katka kazi za muziki. Hii yote ni akili za Nikki kujilinda ili asipotee kwenye game LA muziki.. Ila kifupi Nikki yuko smart sana toka kichwani hadi kwenye maisha halisi.,Huwa namfwatilia sana hata istra Hafanani kuishi katika status ya usanii.

Ila yote kwa yote tunashauriwa tufanye kazi yoyote halali ili mradi mkono uende kinywani.

Go ahead Nikki.
 
dimond bora angekuwa kicheche mtaani
alikiba angependeza kuwa muimba taarabu au kaswida
jux ange dili na kazi ya kuuza maduka ya nguo usanii sio lazima
 
Asante kwa mchango wako mkuu..samahani kwa namna nilivoutoa uzi wangu
 
Members wa jamii forums wasio na mwonekano wa kijamii forums, JUVENILE DAVIS huyu jamaa hafananii na jamii forums ni mlugaluga hana hoja za msingi mada zake ni pumba tupu hapa jukwaani, bora uendelee kuvuna ufuta kwenu huendani na jamiiforums
Best comment of the thread..
 
Kumwambia mwanaume mwenzio eti ana sura mbaya ni dalili za ushoga ulio katika dalili za awali. Ila utamu wa mkuyenge ukikulea hutachagua sura.
 
yani kila nikiskiliza sauti ya nikki wa pili naona siielewi kabisa jamaa hafai kuimba wala kuchana ila anafaa kuwa mwandishi tu au producer tena assistant producer au brand manager
 
Kitaalam wanaita X FACTOR yani kuna artists ukiwaangalia hawafanani kabisa na wanachokifanya
 
Mtoa mada itakuwa hana kipaji chochote wivu wa kike unamtafuna...masikini nenda THT kajifunze kuimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…