Wasanii wa comedy wanaobadili sauti zao hawachekeshi

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Sijui ni kwangu tu,naona kama wananiboa,mfano kuna movies za mzee majuto kuna jamaa anajiita zumbekuku,kuna movie nyingine ya "garage" anajiita chilisosi.

Wapo wengi sijui ndo sauti zao halisi au vipi!

Wengi wanaobadili sauti hawako funny at all.
 
Kwa maoni yangu fani ya uchekeshaji imevamiwa na watafuta riziki ya siku. Wenye vipaji vya uchekeshaji ni 0.1%, from ze comedy to Futuhi to all others. Pikabom stands apart though in content and class. Nyingine zote ni fujo na makelele tupu!
 
Mfano mdogo tu steve nyerere anategemea tu kuigiza sauti ya Mwalimu,kuna watu kama kina Asenga na pembe mi naona wanachekesha na sauti zao nadhani ndo hizo hizo,ila wengi wanaoigiza sauti za wengine wanaboa.

imekwaje umebadili ID?
 
Anasema ameokoka, ile ya H ilijaa maovu.
 
Vijana wanaofanya poa kwa comedy
ringo,kitale,masele, wakongwe anaanza king majuto himself,pembe senga,bambo na wale wa mizengwe.
Pale eatv komedi hakuna kitu.futuhi yupo jamaa anaitwa brother k.
O.comedy mtoe vengu,macregani na wakuvanga.
 
Mfano mdogo tu steve nyerere anategemea tu kuigiza sauti ya Mwalimu,kuna watu kama kina Asenga na pembe mi naona wanachekesha na sauti zao nadhani ndo hizo hizo,ila wengi wanaoigiza sauti za wengine wanaboa.

imekwaje umebadili ID?

Steve nyerere anaigiza sauti za mwalimu, kikwete, makamba ns wengine wengi hadi obama hata yako anaeza kuigiza labda kama hujawah kumsikiliza au kumfuatilia vizuri mkuu
 
Vijana wanaofanya poa kwa comedy
ringo,kitale,masele, wakongwe anaanza king majuto himself,pembe senga,bambo na wale wa mizengwe.
Pale eatv komedi hakuna kitu.futuhi yupo jamaa anaitwa brother k.
O.comedy mtoe vengu,macregani na wakuvanga.
ila kuingiza sauti inaboaga,mi namkubali masanja mkandamizaji akiigiza sauti ila kuna wengi wakiingiza kama vituko tu
 
Wanaboa kiukweli,kuna wale wengine 'gateman' ptuu yan basi tu
 
huyu steve ananichafua roho kbs et tbc wanakapa airtime aghrrq.na yule kijana anaigiza vituko shoo na kasaut kadoogo i hate it,but napenda sana futuhi kwakweli
 
huyu steve ananichafua roho kbs et tbc wanakapa airtime aghrrq.na yule kijana anaigiza vituko shoo na kasaut kadoogo i hate it,but napenda sana futuhi kwakweli!wabunifu wanajitahd sana,wamewafunika wote
 
Just another hater
 
Back
Top Bottom