Wasanii wa comedy wanaobadili sauti zao hawachekeshi

Wasanii wa comedy wanaobadili sauti zao hawachekeshi

We don't have comedians we have shouters who call themselves comedians
 
mi wananifanya nisipende Komedi kabisa...

unaweza kutaoika ukiwa unawasikiliza........
ukiwaunaangalia comedy unajikuta unamfuatilia mtu mmoja ukifika zamu ya mwingine unafoward cd
 
ni kweli halafu wameona ndo fashen sijui
kuna movie inaitwa Pusi na Paku kaigiza mzee majuto,Jaqline Wolpa na msichana mmoja sikumbuki,hapo kwa kina wolper ikifika unatamani uache kuangalia
 
kuna movie inaitwa Pusi na Paku kaigiza mzee majuto,Jaqline Wolpa na msichana mmoja sikumbuki,hapo kwa kina wolper ikifika unatamani uache kuangalia

Sijawahi kuiona Love...nilionaga tu matangazo yao...mie sipend Comedy hasa za hawa watu
 
Back
Top Bottom