Mfano mdogo tu steve nyerere anategemea tu kuigiza sauti ya Mwalimu,kuna watu kama kina Asenga na pembe mi naona wanachekesha na sauti zao nadhani ndo hizo hizo,ila wengi wanaoigiza sauti za wengine wanaboa.Kwa maoni yangu fani ya uchekeshaji imevamiwa na watafuta riziki ya siku. Wenye vipaji vya uchekeshaji ni 0.1%, from ze comedy to Futuhi to all others. Pikabom stands apart though in content and class. Nyingine zote ni fujo na makelele tupu!
Mfano mdogo tu steve nyerere anategemea tu kuigiza sauti ya Mwalimu,kuna watu kama kina Asenga na pembe mi naona wanachekesha na sauti zao nadhani ndo hizo hizo,ila wengi wanaoigiza sauti za wengine wanaboa.
imekwaje umebadili ID?
Mfano mdogo tu steve nyerere anategemea tu kuigiza sauti ya Mwalimu,kuna watu kama kina Asenga na pembe mi naona wanachekesha na sauti zao nadhani ndo hizo hizo,ila wengi wanaoigiza sauti za wengine wanaboa.
imekwaje umebadili ID?
ila kuingiza sauti inaboaga,mi namkubali masanja mkandamizaji akiigiza sauti ila kuna wengi wakiingiza kama vituko tuVijana wanaofanya poa kwa comedy
ringo,kitale,masele, wakongwe anaanza king majuto himself,pembe senga,bambo na wale wa mizengwe.
Pale eatv komedi hakuna kitu.futuhi yupo jamaa anaitwa brother k.
O.comedy mtoe vengu,macregani na wakuvanga.
huyu steve ananichafua roho kbs et tbc wanakapa airtime aghrrq.na yule kijana anaigiza vituko shoo na kasaut kadoogo i hate it,but napenda sana futuhi kwakweli!wabunifu wanajitahd sana,wamewafunika wote