Just another hater
Kinyambe
Kweli wanajifanya wanachekesha ila ni vituko,wanalazimisha vipaji
We don't have comedians we have shouters who call themselves comedians
Just another hater
ukiwaunaangalia comedy unajikuta unamfuatilia mtu mmoja ukifika zamu ya mwingine unafoward cd
kuna movie inaitwa Pusi na Paku kaigiza mzee majuto,Jaqline Wolpa na msichana mmoja sikumbuki,hapo kwa kina wolper ikifika unatamani uache kuangalia
Sijawahi kuiona Love...nilionaga tu matangazo yao...mie sipend Comedy hasa za hawa watu