Wasanii wa East Africa Bado Ni Local Champions, Beyonce awatosa

Wabongo wengi wakiona mtu kafikisha views milioni 1 kwa siku na tranding 1 YouTube wanaona Tayari wimbo umefanikiwa kumbe hawajui YouTube Ni part ndogo Sana ya kufanikiwa kuupeleka mziki mbali
Hahahahah views zenyewe zinazosababishwa na magroup yao ya watsup walocreate,Kuna msanii ana makundi ya vijana wako kwenye magroup watsup akitoa nyimbo tu wanahimizana kukesha huko kuview ili msanii wait aonekane ana views nyingi hence katoa ngoma Kali kumbe ubatil tu teh
 
Ukwel mchungu
 
Hatuna wasanii mashuhuri, ila tuna wasanii maarufu.
Kwa kawaida watu mashuhuri huwa wanafanya kazi kuzingatia ubora, watu maarufu hufanya kazi kwa kutafuta kiki kwenye Mass media.

Chunguzeni nyimbo za diamond Platinum
Mzee wa makiki na makamera hahahah
Na kuongelea mabif yake na ex zake ama kutumia wanawake kutrend utube afu anaona kamaliza kabisaaa hakuna msanii mkubwa Kama yeye east and Africa in general funny
 
naona huu uzi umekuwa wa kumjadili diamond sasa..
ukiachilia mbali kazi za dimond kuwa mbovu kwa kuimba matus na kucopy vidio nje lakni pia uchawi wake mdogo kuweza kushindana na uchawi wanaotumia hao wanaotamba africa na nje ya africa
 

HIo sio sababu mkuu

Chuki zetu wenyewe(hapa sio wasanii tu,mpaka sisi wasikilizaji) ,roho mbaya na kutoshirikiana ndo chanzo kikuu

Kama tatizo ni makolabo mengi,aya Alikiba ambae ana makolabo machache na wanaijeria,pengine hana kabisa yuko wapi??

Weusi specifically Joh Makini alianza kujiongeza kidogo kwenda international,sasa hivi yuko wapi?

Jux na ex wake Vanessa je?

Kuna kitu kikubwa sana hakipo sawa kwetu sisi watanzania
 
kuna time najiuliza,au sis watz tumeumbwa tofauti? mana toka hili bifu la kiba na mond lianze watu hawatak tena kusapot wasanii ambao hawako ktk timu hzo!!
 
Msanii gani bongo yupo na ataimba nn
Mnataka kuimba ngololoo sjui tetemaa
Humo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…