The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,522
Hahahahah views zenyewe zinazosababishwa na magroup yao ya watsup walocreate,Kuna msanii ana makundi ya vijana wako kwenye magroup watsup akitoa nyimbo tu wanahimizana kukesha huko kuview ili msanii wait aonekane ana views nyingi hence katoa ngoma Kali kumbe ubatil tu tehWabongo wengi wakiona mtu kafikisha views milioni 1 kwa siku na tranding 1 YouTube wanaona Tayari wimbo umefanikiwa kumbe hawajui YouTube Ni part ndogo Sana ya kufanikiwa kuupeleka mziki mbali