Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Joh Makini sio msanii wa Hiphop..Ni msanii wa bongofleva,usipotoshe.
Joh Makini sio msanii wa Hiphop..Ni msanii wa bongofleva,usipotoshe.
Mkuu Secret Service, tuache masihara bhana! Ile status aliyokuwa nayo FidQ ndo angekuwa nayo vile kwenye Bongo Flavor, acha kabisa; alichokuwa nacho leo Fid Q ingekuwa ni zaidi ya mara kumi! Just imagine, tangu enzi za Huyu na Yule; huyu anaingia yule anatoka; Kulwa anaingia Doto anatoka! usin'tanie...ingekuwa kila anapopita Fid Q ni full shikamoo! By the way, hivi umenisoma niliposema ingekuwa status aliyonayo kwenye hiphop ingekuwa ndo BF? I mean, pale alioingia kwenye game na ku-hit kwenye hipo hop ndivyo ingekuwa ame-hit kwa kiwango kile kile kwenye BF kwa muda wote huu! acha bana, hip hop majanga; mi mwenyewe nshafanyaga hip hop enzi zile sema nikashituka nikaona ngoja nipige skull!Wacheni majungu bwana. Hip hop inauza sana Tanzania. Hamjaona wasanii kama Fid Q wanatoka hadi nje ya Nchi kimuziki kwenda kufanya show..?
Mkuu Secret Service, tuache masihara bhana! Ile status aliyokuwa nayo FidQ ndo angekuwa nayo vile kwenye Bongo Flavor, acha kabisa; alichokuwa nacho leo Fid Q ingekuwa ni zaidi ya mara kumi! Just imagine, tangu enzi za Huyu na Yule; huyu anaingia yule anatoka; Kulwa anaingia Doto anatoka! usin'tanie...ingekuwa kila anapopita Fid Q ni full shikamoo! By the way, hivi umenisoma niliposema ingekuwa status aliyonayo kwenye hiphop ingekuwa ndo BF? I mean, pale alioingia kwenye game na ku-hit kwenye hipo hop ndivyo ingekuwa ame-hit kwa kiwango kile kile kwenye BF kwa muda wote huu! acha bana, hip hop majanga; mi mwenyewe nshafanyaga hip hop enzi zile sema nikashituka nikaona ngoja nipige skull!
asikudanganye mtu na hayo mambo ya sijui real life and similar stuffs like utamaduni and other blah blah! Hayo ni mambo yanayoandikwa tu lakini sio real life vinginevyo tungeona hip hop guru from back 1990s wakiendelea kufanya hiphop as culture hata baada ya kuwa hip hop is almost dead!The thing about hip hop z the rhythm,poetry n itikadi plus belief n misimamo
So ts lie sm1 tell u the slogan once a gokner always agooner huwez kustaaf au kuacha hip hop if u don't do t as lyrical way I mean musik u practice t in real life so don't fool yourself hukua unafanya hip hop u were just rapping as Norman rappaZ
asikudanganye mtu na hayo mambo ya sijui real life and similar stuffs like utamaduni and other blah blah! Hayo ni mambo yanayoandikwa tu lakini sio real life vinginevyo tungeona hip hop guru from back 1990s wakiendelea kufanya hiphop as culture hata baada ya kuwa hip hop is almost dead!
asikudanganye mtu na hayo mambo ya sijui real life and similar stuffs like utamaduni and other blah blah! Hayo ni mambo yanayoandikwa tu lakini sio real life vinginevyo tungeona hip hop guru from back 1990s wakiendelea kufanya hiphop as culture hata baada ya kuwa hip hop is almost dead!
Nyimbo zao nyingi mbayaaa
Kama nyimbo gani?
Vp unahoji suala la tofauti kati ya rapper na mc wakati mie sijafika huko? Nimehoji kuhusu hip hop guru back 1990s; wako wapi? kama watu walikuwa wanafanya hip hop kama life style na culture kwanini wasiendelee...cultute haifi; cultute haiwezi kuwa affected na soko? Unaleta masuala ya PhD sijui nini na nini; ndo maana nikakuambia hayo mambo ni just documented materials people to read but not real life.Wewe ndo kama tu yule mhadhiri Wa Uganda kapewa pesa na Harvard kaja Tanzania kufanya utafit kuhusu hip hop kawahoji mapanga temeke then kasepa kala PhD yake kiulaini ukisoma kitabu chake sasa hadi siku hazigandi ni hiphop so tuwaelewaje with kama nyie mi sijui kaa unajua utofauti Wa Mc na rapper aisee
Unajua maana ya Bongo Fleva? Music wote unaofanywa Tanzania na una man'dhari ya Kitanzania.
Sio RnB wala Taarabu wala Hip Hop.
Yaani hii ni style yetu wabongo.
Au ulitaka umaanishe Hip Hop ngumu na Laini?
Hilo halina mjadala; Madee anatoa ngoma "hip hop" haiuzi wakaanza kumchana!