Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Katika wanamuziki wooote Tanzania basi hakuna wasanii wenye maisha mabaya na yasiyoeleweka kama maisha ya wasanii wa hiphop.
Si kwamba muziki wao haupendwi, muziki wao unapendwa sana hasa na vijana(wanaume) lakini kitu kibaya kuhusu huu muziki ni kwamba mashabiki wake wengi hawana pesa, mashabiki wake hawanunui caller tunes, tshirt wala kazi za wasanii hao ambao ni wachache sana wamekuwa wakitoa mixtape.
Ni tofauti sana na wabana pua ambao wao mashabiki zao ni kinadada ambao ndio wanunuzi wakuu wa kazi za wasanii.
Wasanii wa HipHop wanatia huruma sana.kwa kweli, maisha anayoishi Joh Makin yanatisha huwezi hata kumfananisha na Rich Mavoko.