Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,528
Kama anazoimba yule wa kikosi cha mizingaa
[video]http://musicvideoswiz.com/artist/kikosi%20cha%20mizinga[/video]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anazoimba yule wa kikosi cha mizingaa
We dogo siku ukimwita mzee Gulumo bongofleva anakukata vibao....
Wabana pua wanauza, angalau kupitia ringtones na show!Muziki gani unauza bongo?
Joh Makini sio msanii wa Hiphop..Ni msanii wa bongofleva,usipotoshe.
kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe ila pia lazima tuangalie katika different vantage point. Soko la muziki ni dynamic, hivyo msanii lazima ubadilike kulingana na soko linavoenda. sasa unakuta rapper mzuri tu ila hataki ku acknowledge changes kwa game lazima mambo yake hayatakua mazuri. mfano mzuri angalia mtu kama Prof.Jay, angalia album ya machozi jasho na damu. bila shaka utakubaliana nami kwamba still ni among album bora za hiphop kutokea bongo. ila chek kwa sasa, prof jizze wa bongo daressalaam si prof jize wa kamili gado. watu wanasoma ramani ndugu nakubadilika accordingly. Siku hizi kuna vijana kama KingZillah wanafanya zile hiphop ambazo mtu anasikiliza ana enjoy. na kama ulivyosema, mademu ni mafans wakubwa wa muziki mzuri. Ni wachache ambao tunaweza kuwaskiliza kina Watengwa,Kimbunga,Songa etc. ila mziki wa bongo lazima uangalie target customers wako ni wapi, after all music is business!
Kama anazoimba yule wa kikosi cha mizingaa
Well said!
Ubaya wake nn?
Kelele tu hata kuuchezaa sijui unaanzaje,lakini kuna baadhi ya nyimbo kama Nishike mkono ya Darasaa ni nzuri lakin zingine ni kelelee
kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe ila pia lazima tuangalie katika different vantage point. Soko la muziki ni dynamic, hivyo msanii lazima ubadilike kulingana na soko linavoenda. sasa unakuta rapper mzuri tu ila hataki ku acknowledge changes kwa game lazima mambo yake hayatakua mazuri. mfano mzuri angalia mtu kama Prof.Jay, angalia album ya machozi jasho na damu. bila shaka utakubaliana nami kwamba still ni among album bora za hiphop kutokea bongo. ila chek kwa sasa, prof jizze wa bongo daressalaam si prof jize wa kamili gado. watu wanasoma ramani ndugu nakubadilika accordingly. Siku hizi kuna vijana kama KingZillah wanafanya zile hiphop ambazo mtu anasikiliza ana enjoy. na kama ulivyosema, mademu ni mafans wakubwa wa muziki mzuri. Ni wachache ambao tunaweza kuwaskiliza kina Watengwa,Kimbunga,Songa etc. ila mziki wa bongo lazima uangalie target customers wako ni wapi, after all music is business!
So kwako hip hop ni kucheza?
Na nyimbo yyte usiyojua kucheza basi mbaya?duuu
Haya
kaka pc inakaribia kupona uniangushie beats za maana, respect
Wabana pua wanauza, angalau kupitia ringtones na show!
Hivi Joh Makini anaishi maisha ya dhiki,how comes?Mbona anapata shows nyingi?
Kiaina, huwezi kulinganisha na wabana pua! Na ndio maana mwanzoni nikasema ukiangalia status aliyodumu nayo FIDQ tangu enzi za "huyu na yule" hadi leo; kwa maana, vile anavyo-hit for more than ten years now, ndo ingekuwa ame-hit kwa kiwango kile kile huku kwa akina Diamond; leo hii FiDQ ingekuwa full shikamoo kila anapokanyaga! Alichonacho leo ingekuwa hata mara kumi yake unless kama angeamua kuishi maisha ya kibongo flavor!Ata wanahiphop wanauza pia,angalau kupitia shows,ring tones na matangazo.
INgawaje silifahamu life la Joe Makini lakini wala haiwezi kuniingia akilini kwamba anaweza kuwa choka kihivyo.Hivi Joh Makini anaishi maisha ya dhiki,how comes?Mbona anapata shows nyingi?
Kiaina, huwezi kulinganisha na wabana pua! Na ndio maana mwanzoni nikasema ukiangalia status aliyodumu nayo FIDQ tangu enzi za "huyu na yule" hadi leo; kwa maana, vile anavyo-hit for more than ten years now, ndo ingekuwa ame-hit kwa kiwango kile kile huku kwa akina Diamond; leo hii FiDQ ingekuwa full shikamoo kila anapokanyaga! Alichonacho leo ingekuwa hata mara kumi yake unless kama angeamua kuishi maisha ya kibongo flavor!
unaijua bongo fleva