Wasanii wa hip hop na umaskini uliotukuka

Katika wanamuziki wooote Tanzania basi hakuna wasanii wenye maisha mabaya na yasiyoeleweka kama maisha ya wasanii wa hiphop.

Si kwamba muziki wao haupendwi, muziki wao unapendwa sana hasa na vijana(wanaume) lakini kitu kibaya kuhusu huu muziki ni kwamba mashabiki wake wengi hawana pesa, mashabiki wake hawanunui caller tunes, tshirt wala kazi za wasanii hao ambao ni wachache sana wamekuwa wakitoa mixtape.

Ni tofauti sana na wabana pua ambao wao mashabiki zao ni kinadada ambao ndio wanunuzi wakuu wa kazi za wasanii.

Wasanii wa HipHop wanatia huruma sana.kwa kweli, maisha anayoishi Joh Makin yanatisha huwezi hata kumfananisha na Rich Mavoko.

maisha mabaya kama yapi au kwasababu hawaonekani kwenye magazeti ya rangi rangi!!
 
Katika wanamuziki wooote Tanzania basi hakuna wasanii wenye maisha mabaya na yasiyoeleweka kama maisha ya wasanii wa hiphop.

Si kwamba muziki wao haupendwi, muziki wao unapendwa sana hasa na vijana(wanaume) lakini kitu kibaya kuhusu huu muziki ni kwamba mashabiki wake wengi hawana pesa, mashabiki wake hawanunui caller tunes, tshirt wala kazi za wasanii hao ambao ni wachache sana wamekuwa wakitoa mixtape.

Ni tofauti sana na wabana pua ambao wao mashabiki zao ni kinadada ambao ndio wanunuzi wakuu wa kazi za wasanii.

Wasanii wa HipHop wanatia huruma sana.kwa kweli, maisha anayoishi Joh Makin yanatisha huwezi hata kumfananisha na Rich Mavoko.

Na uelewe HIPHOP si mziki!!
 
Usmati wa kadinda au mandika ya bwana almas na hizi track ni ujinga? Hapana nguvu ya mamba ni maji...FidQ
 
Back
Top Bottom