Wasanii wa HipHop Tanzania wana kitu Cha kujifunza kwa Roma Mkatoliki

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
Mashairi ya nyimbo za Roma mkatoliki yanafikilisha Sanaa 😊

Screenshot_20240607-230907.png
Screenshot_20240607-230321.png

Ukipata muda zisikilize
 
Roma anajua ila anachosha kumsikiliza.

Kwa uandishi I can make a case hakuna zaidi ya Nikki Mbishi bongo. Kwa versatility hakuna na hatotokea zaidi ya Ngwea.
 
Nikki mbishi kwa uandishi? Huko huko tamaduni hata yule bwana mdogo p the mc hajamzidi

Kwa uandishi wa niki mbishi hata aimbe miaka 100 Hakuna step atasogea
 
True,
Nikki Mbishi ana nyimbo nyingi sanaa Ila hit song Ni za kuokoteza mfano play boy , jogoo very few to mention
 
kuna mstari mmoja wa nikki mbishi kwenye wimbo wa Dhima ya Emcee unasema hivi

usiendekeze ushoga mauzinde na siku hizi wala poda kama upinde wana roga we ushindwe

zohan
 
Roma anajua ila anachosha kumsikiliza.

Kwa uandishi I can make a case hakuna zaidi ya Nikki Mbishi bongo. Kwa versatility hakuna na hatotokea zaidi ya Ngwea.
ukiangalia kwenye angle ya sauti, Mantic, ujumbe na mpangilio wa flow ROMA MKATOLIKI yupo vizuri Sana kuwazidi Wana hip hop wengi Sanaaa..
 
True,
Nikki Mbishi ana nyimbo nyingi sanaa Ila hit song Ni za kuokoteza mfano play boy , jogoo very few to mention
Hata hizo zenyewe hazikua hit songs. Play boy ilibebebwa na chorus ya Ben pol. Lakini bado wimbo haukufika mbali na ndio alikua anatoka. Wenzie jiwe la kutokea linakua jiwe kweli, refer kwa darasa - sikati tamaa, stamina - kabwela, Godzilla, roma, young killer
 
kuna mstari mmoja wa nikki mbishi kwenye wimbo wa Dhima ya Emcee unasema hivi

usiendekeze ushoga mauzinde na siku hizi wala poda kama upinde wana roga we ushindwe

zohan
Anamjua Hadi mauzinde na bado anamuweka kwenye lines, ndio bado analalamika kwa nn nyimbo zake hazifiki mbali. Rapper ni tofauti na waimbaji wengine, uwe na punch haswa na flow za kwenda
 
Back
Top Bottom