Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
- #21
Umenikumbusha Godzilla R.I.P jamaa Ali misuse drugs zikawa zinamwendesha SanaaHata hizo zenyewe hazikua hit songs. Play boy ilibebebwa na chorus ya Ben pol. Lakini bado wimbo haukufika mbali na ndio alikua anatoka. Wenzie jiwe la kutokea linakua jiwe kweli, refer kwa darasa - sikati tamaa, stamina - kabwela, Godzilla, roma, young killer
Wana hip hop wengi Wana kili kua Godzilla Ni moja ya ma freestyler wazur kuwai tokea kwenye game ya Muzik bongo Nikki mbishi amewai kusema pia Godzilla alikua jembe
Ogopa kua na jina kubwa alafu mfukoni majalala unajikuta na stress SANAA ndio chanzo Cha kuingia kwenye DRUGS