Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
- Thread starter
-
- #21
Umenikumbusha Godzilla R.I.P jamaa Ali misuse drugs zikawa zinamwendesha SanaaHata hizo zenyewe hazikua hit songs. Play boy ilibebebwa na chorus ya Ben pol. Lakini bado wimbo haukufika mbali na ndio alikua anatoka. Wenzie jiwe la kutokea linakua jiwe kweli, refer kwa darasa - sikati tamaa, stamina - kabwela, Godzilla, roma, young killer
Ni kweli mkuuMi naona ni mchaguzi mzuri wa topic ya kwenda nayo kulingana na wakati.
Ova
Mashairi ya wanamuziki Roma na Ney wa Mitego yamejaa mafundisho. Mashairi ya wasanii kama Diamond na wengine yamejaa matusi na kutukuza ngono na uvutaji wa bangi.Mashairi ya nyimbo za Roma mkatoliki yanafikilisha Sanaa 😊
View attachment 3011485View attachment 3011484
Ukipata muda zisikilize
Yah, alikua vizuri sana kweye free styles na flow zake zilikua ni noma sana. Kifupi alikua anajua sanaUmenikumbusha Godzilla R.I.P jamaa Ali misuse drugs zikawa zinamwendesha Sanaa
Wana hip hop wengi Wana kili kua Godzilla Ni moja ya ma freestyler wazur kuwai tokea kwenye game ya Muzik bongo Nikki mbishi amewai kusema pia Godzilla alikua jembe
Ogopa kua na jina kubwa alafu mfukoni majalala unajikuta na stress SANAA ndio chanzo Cha kuingia kwenye DRUGS
Ni kweli mkuu tuwape maua yao kwenye Hilo kwa kweli..M
Mashairi ya wanamuziki Roma na Ney wa Mitego yamejaa mafundisho. Mashairi ya wasanii kama Diamond na wengine yamejaa matusi na kutukuza ngono na uvutaji wa bangi.
Ukishajua kazi ya muziki huwezi kumlaumu diamond na kumsifia roma. Muziki kazi yake ni kufundisha na kuburudisha, diamond kachagua kuburudisha na roma kachagua kufundishaM
Mashairi ya wanamuziki Roma na Ney wa Mitego yamejaa mafundisho. Mashairi ya wasanii kama Diamond na wengine yamejaa matusi na kutukuza ngono na uvutaji wa bangi.
kuna mistari kwenye wimbo huo unasema hiviAnamjua Hadi mauzinde na bado anamuweka kwenye lines, ndio bado analalamika kwa nn nyimbo zake hazifiki mbali. Rapper ni tofauti na waimbaji wengine, uwe na punch haswa na flow za kwenda
Ana madini sanaa sanaakuna mistari kwenye wimbo huo unasema hivi
Dhima ya emcee ni kuzima ma rap wanajiona wao wagonjwa na bima ya afya hawajakata dhaifu kama wanautapia mlo washazoea kupakatwa kila wanapo wania TuNzo
makahaba wa Rap nawavunjia madanguro mnao Rap kupata nyapu nawachukia fankilo
shairika kibishi
Uandishi kama taarifa ya habari ya ITV ama TBCMiaka 15 kwenye game Ila flow na uandishi ni ule ule🗑️
Sikilizeni ngoma acheni mbwembweMtu akiweza kufanya staili ya hip-hop milazo na akaitendea haki mfano napendaga flow za Baby boy Yule wa zizzou fashion.
Nikki wa pili pia na yeye ana flow nzuri
Mimi siimbi, Ila hainizuii kujaji wanaoimba.
Nikki mbishi kwa uandishi? Huko huko tamaduni hata yule bwana mdogo p the mc hajamzidi
Kwa uandishi wa niki mbishi hata aimbe miaka 100 Hakuna step atasogea
Wakufikirisha mkuuUnazungumzia uandishi wa kufikirisha ama uandishi wa kimatukio???!! uandishi wa kufikrisha huambatana na Sitiari (metaphor), sikumbuki sitiari zozote kutoka kwa Roma, uandishi wake naona ni wa kawaida tu ila unalenga topic zisizo rahisi kuzijadili kwa uhuru kulingana na mazingira ya kisiasa nchini.
Kuburudisha kwa kuhamasisha vijana wavute bangi na ngono zembe? Are you serious mkuu?Ukishajua kazi ya muziki huwezi kumlaumu diamond na kumsifia roma. Muziki kazi yake ni kufundisha na kuburudisha, diamond kachagua kuburudisha na roma kachagua kufundisha