Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo kuna maswali mengi???????????Aisee, huyo Baghdad ni nini alitumia, mbona "kachongoka" sana, yani mpaka kapitiliza.
Huyo Baghdad ndio huyu kwenye hii video? na yeye ni unga au ni nini? sielewi
https://www.youtube.com/watch?v=4k31G4Ep4Rs
Nyimbo-nyingiNyimbo nzuri safi!
-Nyerere-
M nimemjua mmoja nilisoma naye mahali hapa hapanTzAlmost wote siwajui ila wimbo mzuri sana
Opoint of correctionkiki tu hiyo wanatafuta, mbona hakutoa nyimbo kabla ya tetemeko!? wanasafiria nyota ya wahanga, hahahaa very poor
Pamoja sana nishafanya editing!Nyimbo-nyingi
Wimbo-mmoja
Sentensi sahii:
Wimbo mzuri.
Hongera umesoma na star wa Kagera[emoji1]M nimemjua mmoja nilisoma naye mahali hapa hapanTz
100% of correction, huo ndio ukweli mbona tangu awali hawakutoa nyimbo japo kuusifia mkoa wao?!Opoint of correction
Kila mtu amepangiwa njia ya kutok kimaisha so usimhukum mtu