dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Kajala mara ya pili naona unamtaja, yaelekea anakuvutia sanaDemu mwenye mvuto wa mapenzi bongo hakuna zaidi ya hawa:
1.Kajala
2.Samsha ford
3.Lisa Jensen
Hao waliosalia wote waswahili sana hakuna cha mvuto zaidi ya upigaji tu..Jichanganye wakugeuze "DANGA"
We unamuoa wa ki sport sport yule. Ha ha!Huyu Kajala mara ya pili naona unamtaja, yaelekea anakuvutia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mbona naona wa kawaida tuWe unamuoa wa ki sport sport yule. Ha ha!
Binafsi huwa ananikela sana anavyo jibinua, akiongea ajui kupangilia maneno nk nk sema ni mambo ambayo hayanihusu napita mbali.
Kajala mzuri bwana. Ile shape yake sasa ndo baraaaaaaWe unamuoa wa ki sport sport yule. Ha ha!
Bora umekuwa honest tu, mtoto yuko vizuri sana.
Hahah sawa sawaMimi mbona naona wa kawaida tu
Mie vitu vizuri navijua etii. Japo rafiki zangu wameshanikataza nisiwe nasifia mpaka wao wapitishe maana huwa nasifia sanaBora umekuwa honest tu, mtoto yuko vizuri sana.
Mie vitu vizuri navijua etii. Japo rafiki zangu wameshanikataza nisiwe nasifia mpaka wao wapitishe maana huwa nasifia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasemaga wanawake hampendani so hata kuonesha unamkubali mwenzio inakuwaga ngumu ila we upo real sana mpenzi. Wacha wanaoparangana waendelee bisha.
Hao madem wote wananikonga nyoyo. Wapo vizuri sana! Huwa nawatumia kama mfano nikitaka ku refer wasifu naoupenda.