Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
• WemaSepetu
• Aunt Ezekiel
• Nandy
• Lulu diva
• Amber lulu
• Amber Ruty
• Gigy money
• Divadeboss
• Jackline Wolper
• .......
📌 Msanii ni kioo cha jamii, ila sio kwa sanaa ya kipindi hichi aisee. Asilimia kubwa wasanii wengi wanapotosha jamii na kwakuwa wao ni maarufu ndo kizazi kinazidi kuaribika .kwa vitendo vyao mnaona ni sahihi kabisa kuendelea .
📌Watangazaji/waandishi nao wameshindwa kufanya kazi yao kwa uheledi mwisho wa siku ndo kama hivi vitoto vya filauni.
📌 Jamii nayo imejikeep bize kusaka tonge, kulala njaa kwa siku moja kuiokoa jamii imeona kama miaka 10 kumbe jamii inatakiwa kujirudi maana maisha sisi ndo tunayapeleka kasi.
📌 Walimu , walimu maadili hakuna jinsi ya kufundishi hawajui wameishia kupiga watoto ndo imekuwa jukumu...
......... Ngono imekuwa fulsa kwa Wasanii na watu fulani kuzidi kujiongezea umaarafu na watu wakazidi kuwafuatilia, Tanzania tupo na ujinga wa kusapoti upuuzi kuliko kusapoti mambo ya msingi.
👤. Ukionekana uko na maono we mjuaji 😁😁😁 haya twende tu tutafika.......
...
Asante napenda kuwasilisha.....
....