Wasanii wa kizazi kipya wana mchango gani kwenye ushairi wa kiswahili?

desmond JJ

Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
55
Reaction score
27
Wadau nimepata shida kuchambua mchango wa wasanii wa bongofleva katika maendeleo ya ushairi wa kiswahili, Katika nyanja za kimaudhui, na hata fani yake.

Je umeongeza mambo mapya katika ushairi wetu wa kiswahili?

Msaada tutani tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…