desmond JJ
Member
- Jul 6, 2012
- 55
- 27
Wadau nimepata shida kuchambua mchango wa wasanii wa bongofleva katika maendeleo ya ushairi wa kiswahili, Katika nyanja za kimaudhui, na hata fani yake.
Je umeongeza mambo mapya katika ushairi wetu wa kiswahili?
Msaada tutani tafadhali
Je umeongeza mambo mapya katika ushairi wetu wa kiswahili?
Msaada tutani tafadhali