ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Dah inauma Sana eti marekani yenye watu million 350 na yenye wasanii wengi hatusikii hata wakifa.wakina lil Wayne,sijui 50 cent,Jay z majina makubwa toka tumezaliwa tunawasikia TU halafu unaweza ukafa ukawaacha wote wakina Chris's brown na kina Rick Ross.ebu nipeni Siri wao wa wazungu wanawezaje kuwa na standard nzuri hivi ya maisha mpaka wasife ovyo?nchi nyingine zenye life span kubwa Ni Palestine,India,British,Italy,germany,japani,China..sisi mwisho wetu miaka 56 tu.na hatufanyi dhambi kubwa kama wao.