Wasanii wa mambele hawafi Kama sisi

Wasanii wa mambele hawafi Kama sisi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Dah inauma Sana eti marekani yenye watu million 350 na yenye wasanii wengi hatusikii hata wakifa.wakina lil Wayne,sijui 50 cent,Jay z majina makubwa toka tumezaliwa tunawasikia TU halafu unaweza ukafa ukawaacha wote wakina Chris's brown na kina Rick Ross.ebu nipeni Siri wao wa wazungu wanawezaje kuwa na standard nzuri hivi ya maisha mpaka wasife ovyo?nchi nyingine zenye life span kubwa Ni Palestine,India,British,Italy,germany,japani,China..sisi mwisho wetu miaka 56 tu.na hatufanyi dhambi kubwa kama wao.
 
Kama Ni kweli Basi tukubaliane dhambi Ni pamoja na
-kukata miti
-kutokula chakula sawasawa
-kuamini Kama Kuna uchawi
-kutokufanya mazoezi
 
Sometime human cloning ,
Standard life.
Opportunity kwa wasanii wa mbele ni nyingi.
Management zisizo jiona wala kujisikia.

N.k
 
Sometime human cloning ,
Standard life.
Opportunity kwa wasanii wa mbele ni nyingi.
Management zisizo jiona wala kujisikia.

N.k
Kwanini Tupac au big akufanyiwa cloning ikiwa wanaingiza mapato makubwa
 
Aliya, maiko, Whitney wamekufa wakiwa na umri gani?
 
Back
Top Bottom