Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii

Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii

Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi kusambaratisha maadili ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla kwa kupandikiza vishawishi vya ngono vitakavyotumbukiza vijana kwenye matatizo makubwa ikiwemo zinaa na kadhalika

Tazama video ya Wasanii hawa walipokuwa wakishoot
 

Attachments

  • AQN0vsjt0GkEEhS8aF_Hj-H1SywMg4Hc9485jc8jaYC0-o99ayON3XxTy4HW3SoiiVm8491pdjAk2J0oJtmsTxCs.mp4
    1.1 MB
Kuwaleta humu hao Mabantu, ushawapa coverage!

Bongo flava ya hivyo iishie kwa popos na night clubs. Wafu wazikane wenyewe

Kukikuchwa tu TV stations zituwekee miziki kama 'Rangi ya chungwa'
 
Back
Top Bottom