maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
habari za asubuhi ndugu wana jf, natumaini mu wazima wa afya, niende moja kwa moja kwene hoja
asilimia kubwa wasanii wanaotoka mwanza ndio wanaopotea kwene game kiurahisi na sijui nini kina wapoteza huenda ni bifu za media
mfano kuna jamaa mmoja anaitwa "coyo" ameskika kama miezi mitatu tu mwisho wa siku kupotea, huyu jamaa ana hit song kama mbili hivi moja inaitwa njoo badae, na nyingine jina silifahamu ila mstari wake mmoja unasema "kipato cha buku unahonga laki, kujibebesha mzigo kichwa cha samaki, uendeshe famililia na pesa za kubeti" sijui kapotezwa na nini haskiki tena
mchama the best huyu dogo alisumbua sana fiesta ilikua mwaka 2016 kama sikosei dogo alikua ana flow ni hatari ila alivoingia kwene game katoa hit songs moja saiz kapotea
baraka the prince huyu ndo alianza vizuri sana anavokuja na siachani nawe 2015 akaendelea na nivumilie ukakubali ameishi kwene game kama miaka mitatu saizi ndo anaelekea kupotea
Ghetto ambassador kwa wale wapenda harakati huyu jamaa watakua wanamfahamu alikua kundi la TAMADUNI MUZIKI tangia 2011 mpaka kundi lilipovunjika 2015 ile na yeye ndo akapotea ila namkubari sana flow zake yuko vizur kwa kifupi
Kadgo huyu ni sawa na ghetto ambassador yaliyomkuta yule na huyu ni ya ni yaleyale ila uyu nae ni mkali sana ata dogo young killer anamkubali sana nakumbuka kuna mstari mmoja alisema "kwa mwanza ukimtoa fid Kadgo ndo rapa best"
young killer uyu dogo bado hajapotea ila style ya flow anayoimba anazidi kupoteza mashabiki na kupoteza mashabiki ndio kupotea kwenyewe Nm
NB kwa haraka haraka nimegundua wasanii wa mwanza mnalewa sana sifa ila vipaji vipo mjifunze kuchukulia vitu kawaida ili sifa zisiwapoteze