Wasanii wa mwanza wanavopotea kwene game ya mziki

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
habari za asubuhi ndugu wana jf, natumaini mu wazima wa afya, niende moja kwa moja kwene hoja

asilimia kubwa wasanii wanaotoka mwanza ndio wanaopotea kwene game kiurahisi na sijui nini kina wapoteza huenda ni bifu za media

mfano kuna jamaa mmoja anaitwa "coyo" ameskika kama miezi mitatu tu mwisho wa siku kupotea, huyu jamaa ana hit song kama mbili hivi moja inaitwa njoo badae, na nyingine jina silifahamu ila mstari wake mmoja unasema "kipato cha buku unahonga laki, kujibebesha mzigo kichwa cha samaki, uendeshe famililia na pesa za kubeti" sijui kapotezwa na nini haskiki tena

mchama the best huyu dogo alisumbua sana fiesta ilikua mwaka 2016 kama sikosei dogo alikua ana flow ni hatari ila alivoingia kwene game katoa hit songs moja saiz kapotea

baraka the prince huyu ndo alianza vizuri sana anavokuja na siachani nawe 2015 akaendelea na nivumilie ukakubali ameishi kwene game kama miaka mitatu saizi ndo anaelekea kupotea

Ghetto ambassador kwa wale wapenda harakati huyu jamaa watakua wanamfahamu alikua kundi la TAMADUNI MUZIKI tangia 2011 mpaka kundi lilipovunjika 2015 ile na yeye ndo akapotea ila namkubari sana flow zake yuko vizur kwa kifupi

Kadgo huyu ni sawa na ghetto ambassador yaliyomkuta yule na huyu ni ya ni yaleyale ila uyu nae ni mkali sana ata dogo young killer anamkubali sana nakumbuka kuna mstari mmoja alisema "kwa mwanza ukimtoa fid Kadgo ndo rapa best"

young killer uyu dogo bado hajapotea ila style ya flow anayoimba anazidi kupoteza mashabiki na kupoteza mashabiki ndio kupotea kwenyewe Nm

NB kwa haraka haraka nimegundua wasanii wa mwanza mnalewa sana sifa ila vipaji vipo mjifunze kuchukulia vitu kawaida ili sifa zisiwapoteze
 
Nimewahi seat japo MOD hapendi niandike hivi
 
zaidi ya baraka na msodoki ambao bado wapo sana kwenye game hao wengine wote sidhani kama walishawahi kusikika
 
sio hawajawai kuskika sema we hujawai kuwaskia kwa thaabu we sio mdau wa mziki
 
ukiona msanii mpaka umsikie kwa manati au uwe mdau konki konki ndio umfahamu,ujue huyo ni bonge la underground wa hiyo huwezi kusema kapotea sema hajawahi kutoka kimziki.kwanza hata nyimbo zao huzijui vizuri MANAKE HAZIJAHIT
 
Huko Mwanza cha muhimu muililie serikali tu bei ya pamba iongozeke kidogo ili mnufaike. Wasukuma na Muziki wapi na wapi?
 
Msanii wa mwanza kutoboa ni ngumu,mwanza hamna soko la mziki hata show nyingi zipo dar,pia radio nyingi zipo ,msanii wa mwanza ili atoke kimziki lazima ahamie dar.
 
Hao uliowataja mbona mimi hata siwajui...mimi huwa namkumbuka kijana mmoja alikuwa anaimba vuzuri sana anaitwa Sajna na mwingine yule anaitwa Csir madini kama sikosei daah mtoto alikuwa anaimba huyu hatari sijui wako wapi maskini
 
Mbona ulowataja wote hawafahamik popote labda young killer na Baraka ila hao wengine nahisi hata Mwanza tu hawafahamiki
 
habari za asubuhi ndugu wana jf, natumaini mu wazima wa afya, niende moja kwa moja kwene hoja

asilimia kubwa wasanii wanaotoka mwanza ndio wanaopotea kwene game kiurahisi na sijui nini kina wapoteza huenda ni bifu za media

mfano kuna jamaa mmoja anaitwa "coyo" ameskika kama miezi mitatu tu mwisho wa siku kupotea, huyu jamaa ana hit song kama mbili hivi moja inaitwa njoo badae, na nyingine jina silifahamu ila mstari wake mmoja unasema "kipato cha buku unahonga laki, kujibebesha mzigo kichwa cha samaki, uendeshe famililia na pesa za kubeti" sijui kapotezwa na nini haskiki tena

mchama the best huyu dogo alisumbua sana fiesta ilikua mwaka 2016 kama sikosei dogo alikua ana flow ni hatari ila alivoingia kwene game katoa hit songs moja saiz kapotea

baraka the prince huyu ndo alianza vizuri sana anavokuja na siachani nawe 2015 akaendelea na nivumilie ukakubali ameishi kwene game kama miaka mitatu saizi ndo anaelekea kupotea

Ghetto ambassador kwa wale wapenda harakati huyu jamaa watakua wanamfahamu alikua kundi la TAMADUNI MUZIKI tangia 2011 mpaka kundi lilipovunjika 2015 ile na yeye ndo akapotea ila namkubari sana flow zake yuko vizur kwa kifupi

Kadgo huyu ni sawa na ghetto ambassador yaliyomkuta yule na huyu ni ya ni yaleyale ila uyu nae ni mkali sana ata dogo young killer anamkubali sana nakumbuka kuna mstari mmoja alisema "kwa mwanza ukimtoa fid Kadgo ndo rapa best"

young killer uyu dogo bado hajapotea ila style ya flow anayoimba anazidi kupoteza mashabiki na kupoteza mashabiki ndio kupotea kwenyewe Nm

NB kwa haraka haraka nimegundua wasanii wa mwanza mnalewa sana sifa ila vipaji vipo mjifunze kuchukulia vitu kawaida ili sifa zisiwapoteze
Baraka de prince kilicho mponza Ni beef lake na diamond platinumz
 
wengine wanasema na alikiba wengine mond mbona mnanchanganya which is which
Before alikiba Kama unaikumbuka vizuri fiesta ya mwanza alisema yeye ni Prince afu alikiba Ni King na akasema kwamba yeye no mtoto wa mfalme yaani alikiba na akasema Ni team kiba,na kweli bila hiyana akapata nyomi kubwa na kusahau wema wa diamond kwenye zari all white party ambapo baraka the prince alipewa nafasi ya Kwanza kuperform huku akiwa underground,ko baada ya happy kujitangaza team kiba fans wa WBC wakaanza kumchukia mara wakaanza kumtukana kwenye mitandao,show wauzuliaji afifu,ko baada ya kuona hivyo akahama upande wa pili na kurudi WBC wasafi huku akiwa amerikoroga kwa team kiba mara alikuwa ananyonywa ko kuona hivyo akaanza tena kujibebisha kuomba msamaha kwa team kiba,ko WBC baada ya kuona hivyo wakamuacha na pia team kiba Wakamuacha ko mpaka nowa team zote zime mkimbia huku amebakia amehang
 
Back
Top Bottom