Wasanii wa mwanza wanavopotea kwene game ya mziki

baraka the prince huyu ndo alianza vizuri sana anavokuja na siachani nawe 2015 akaendelea na nivumilie ukakubali ameishi kwene game kama miaka mitatu saizi ndo anaelekea kupotea
Hivi kashamaliza "Mjengo" wake aliouonyesha kwenye kipindi cha Ujenzi EATV?
 
Umesahau wengi Hapa
Abuu mkali
Mo music
Sajna
C sir madin
Na wengineo
Huyo abuu mkali hakusikika basi nami niandie waliosikila na nyimbo zao wakapotea

Dogo dee_sihitaji marafiki
Wakubwa wa jiji_ Mda
Kingsilver_umevunja unga.
Leeclassic_Naogopa
Coyo_itakucost
Sajina_Iveta
Csir madin _ nishike mkono, kifungo huru, painkiller
Skywizo_chizi wa mapenzi
Josephray_dem wangu
Future jnl_ kubali twende
Mo music_basi nenda
Wengine ongezeen
 
Hao uliowataja mbona mimi hata siwajui...mimi huwa namkumbuka kijana mmoja alikuwa anaimba vuzuri sana anaitwa Sajna na mwingine yule anaitwa Csir madini kama sikosei daah mtoto alikuwa anaimba huyu hatari sijui wako wapi maskini
We ndio unaujua muziki wa Mwanza sasa.
 
Wachunga n'gombe na mziki wapi na wapi?
 
Abuu mkali - asela
Real jofu - stella
 
Msukuma kakugegeda na kukuacha ndo ukaona uanzishe vita na ukanda mzima.
 
Hao uliowataja mbona mimi hata siwajui...mimi huwa namkumbuka kijana mmoja alikuwa anaimba vuzuri sana anaitwa Sajna na mwingine yule anaitwa Csir madini kama sikosei daah mtoto alikuwa anaimba huyu hatari sijui wako wapi maskini
Kifungo huru sikatai/
Na maumivu unayonipa sitokuaga bye bye/
Unaposema c sir i hate you/
Mi nasikia unasema c sir i love you/
............./

Jamaa anajua sana, sijui yu wapi asee
 
Hao uliowataja mbona mimi hata siwajui...mimi huwa namkumbuka kijana mmoja alikuwa anaimba vuzuri sana anaitwa Sajna na mwingine yule anaitwa Csir madini kama sikosei daah mtoto alikuwa anaimba huyu hatari sijui wako wapi maskini
Watakuwa wamerogwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…