King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Itakucostna nyingine jina silifahamu ila mstari wake mmoja unasema "kipato cha buku unahonga laki, kujibebesha mzigo kichwa cha samaki, uendeshe famililia na pesa za kubeti"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakucostna nyingine jina silifahamu ila mstari wake mmoja unasema "kipato cha buku unahonga laki, kujibebesha mzigo kichwa cha samaki, uendeshe famililia na pesa za kubeti"
Hivi kashamaliza "Mjengo" wake aliouonyesha kwenye kipindi cha Ujenzi EATV?baraka the prince huyu ndo alianza vizuri sana anavokuja na siachani nawe 2015 akaendelea na nivumilie ukakubali ameishi kwene game kama miaka mitatu saizi ndo anaelekea kupotea
Huyo abuu mkali hakusikika basi nami niandie waliosikila na nyimbo zao wakapoteaUmesahau wengi Hapa
Abuu mkali
Mo music
Sajna
C sir madin
Na wengineo
We ndio unaujua muziki wa Mwanza sasa.Hao uliowataja mbona mimi hata siwajui...mimi huwa namkumbuka kijana mmoja alikuwa anaimba vuzuri sana anaitwa Sajna na mwingine yule anaitwa Csir madini kama sikosei daah mtoto alikuwa anaimba huyu hatari sijui wako wapi maskini
Huyo abuu mkali hakusikika basi nami niandie waliosikila na nyimbo zao wakapotea
Dogo dee_sihitaji marafiki
Wakubwa wa jiji_ Mda
Kingsilver_umevunja unga.
Leeclassic_Naogopa
Coyo_itakucost
Sajina_Iveta
Csir madin _ nishike mkono, kifungo huru, painkiller
Skywizo_chizi wa mapenzi
Josephray_dem wangu
Future jnl_ kubali twende
Mo music_basi nenda
Wengine ongezeen
Kifungo huru sikatai/Hao uliowataja mbona mimi hata siwajui...mimi huwa namkumbuka kijana mmoja alikuwa anaimba vuzuri sana anaitwa Sajna na mwingine yule anaitwa Csir madini kama sikosei daah mtoto alikuwa anaimba huyu hatari sijui wako wapi maskini
Watakuwa wamerogwaHao uliowataja mbona mimi hata siwajui...mimi huwa namkumbuka kijana mmoja alikuwa anaimba vuzuri sana anaitwa Sajna na mwingine yule anaitwa Csir madini kama sikosei daah mtoto alikuwa anaimba huyu hatari sijui wako wapi maskini