Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Usipite pliz nna maswali mawili tuNapita
1: Hyo pic ni wewe?
2: uko single? Kama jibu ni ndiyo basi we una matatizo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipite pliz nna maswali mawili tuNapita
Na mimi nakufata tuangaze woteNapita
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo wasanii wengi wanatokea kigoma na tanga
Laiti wangetokea mikoa iliyoendelea kama arusha ,bukoba na Kilimanjaro wangependana na kuheshimiana kidogo
Kupita kwako huku sidhani kama nitatoka patupu.Napita
Envy is not bad my dear, ni wivu wa maendeleo, jealous is bad, ni wivu wa chukienvy imetujaaa wabongo
Umesema kweli lizer amenichosha skuizi. Ndio maana msanii kama wizkid anatengeneza beat zake kwa legendary beat UK na analipa pesa ndefu sana ndio maana anahit.Beat limeplay part kubwa sana ya huu wimbo.
ndio maana nawashangaa Wcb kuwa na producer mbovu vile..
msanii watakiwa kupata producer ambae akigonga beat wimbo lazima u hit tu.
kama t touch kwa Darassa, lazier hajui beatz
hakuna kitu kinaniuzi Wcb kama yule producer aaghrrrr afu wanajifanya kama hawamuoni.
kila wimbo wa wcb unafanana
Wenzetu Beatz zao mpaka utaona Raha Kama beat ya Baba nla,Wash nk
Hakunaga wanachoimbaga cha maana sana basi beat utalipenda....Umesema kweli lizer amenichosha skuizi. Ndio maana msanii kama wizkid anatengeneza beat zake kwa legendary beat UK na analipa pesa ndefu sana ndio maana anahit.
Ts time wcb watafute producer mpya maana kila wimbo unafanana.
Ukiona jinzi kina Don Jazzy wanavyomheshimu D banj
na wasanii wote wa Nigeria wanavyopendana inatia raha sana
Juzi juzi Davido katoa wimbo mkali sana unaitwa 'if'
kumbe alieutengeneza ni Tekno...