Wasanii wa Pwani ya Mombasa Kenya wana uwezo kuliko wasanii wa Tanzania, tatizo hawana platform

Wasanii wa Pwani ya Mombasa Kenya wana uwezo kuliko wasanii wa Tanzania, tatizo hawana platform

Afu mimi ni Pure Tanzanian mkuu sema nafuatilia mziki mziri pande zote za dunia. Hao washikaji nilioandika hapo ni visanga wanajua sana
 
Inawezekana wako vizuri lakini sio lazima wawe kuliko wa Tanzania.
 
2
Mkuu nimeziskiliza vizuri,kwanza kuhusu uandishi ni wazi watu wa Mombasa wanawazidi wa Nairobi sababu wao wanajua kiswahili vzuri maana ukumbuke hao ni watanzania kabisa ila ni mambo ya mipaka tu na wakiloloni,ila kuhusu kuwafikia watanzania hapana Bado sana tena sana,huyo Otile brown tu hamuwezi hata da prince .
Wanajitahidi Sana wamekosa tu promo
 
Back
Top Bottom