Wasanii wa sinema punguzeni "Uzungu"

hivi bado tu mnaangalia hizo takataka?
na kama umestaafu, ni ishara ya kufirisika kifedha na kimawazo.
hizo ni za mabeki tatu na mashangingi ya mjini.

kuna siku nilishuka kwenye basi za mkoani kwa sababu ya kuweka muzi za kiswahili.
We nae Acha ku complicate maisha!kwa Uzungu gani ulionao?kazi kubeza vya kwenu kutukuza vya wenzenu
 
hivi bado tu mnaangalia hizo takataka?
na kama umestaafu, ni ishara ya kufirisika kifedha na kimawazo.
hizo ni za mabeki tatu na mashangingi ya mjini.

kuna siku nilishuka kwenye basi za mkoani kwa sababu ya kuweka muzi za kiswahili.
Sema baadhi ya za kiswahili sio zote,mbona wapo wanaojitahidi pia kiswahili kinatambulika kama lugha kimataifa na kuna watu wanaishi vizuri tu kwa sababu ya kiswahili?

Kwa hiyo ulivyoshuka ikawaje mzungu mweusi?
 
hivi bado tu mnaangalia hizo takataka?
na kama umestaafu, ni ishara ya kufirisika kifedha na kimawazo.
hizo ni za mabeki tatu na mashangingi ya mjini.

kuna siku nilishuka kwenye basi za mkoani kwa sababu ya kuweka muzi za kiswahili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kiingereza chenyewe wanakijua basi kazi kuchanganya tu maneno hamna grammar kujitia wanaongea slang
 
Kuna huyo wellu sengo kwenye tamthiliya ya mwanamuziki[emoji51]
Kweli kabisa. Nimemsikia jana akijitetea kufanya hivo, hana hoja anajichanganyachanganya tu.
 
Reactions: ABJ
Moderates 'Uzungu' si lugha kwani Mzungu ni raia yoyote aishie bara la Ulaya kwa maana ya Mtaliano, Mreno, Mrusi, Muingereza na kadhalika.
Mie sipendezwi na kutumia lugha. Hivo nasangaa kubadirisha kichwa changu cha 'topic' hii. Naomba kirejeshwe kama mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…