Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
We nae Acha ku complicate maisha!kwa Uzungu gani ulionao?kazi kubeza vya kwenu kutukuza vya wenzenuhivi bado tu mnaangalia hizo takataka?
na kama umestaafu, ni ishara ya kufirisika kifedha na kimawazo.
hizo ni za mabeki tatu na mashangingi ya mjini.
kuna siku nilishuka kwenye basi za mkoani kwa sababu ya kuweka muzi za kiswahili.