Wasanii wa singeli mlitaka kudharau Nazi wakati embe ni tunda la msimu

Wasanii wa singeli mlitaka kudharau Nazi wakati embe ni tunda la msimu

Kwanza kabisa ulichokisema kina ukweli kwa asilimia kubwa sana .
Kwa kiwango kikubwa kwa sasa mziki wa singeri umepotea njia kwa kiasi kikubwa sana hii inatokana na gemu kuingiwa na wapiga dili wengi .
Haujapotea njia singeli zamani kuzisikia ni kwenye vigodoro huku kwetu uswazi miaka ya 2009 huko tena beat zile za taarabu wanazirudia sikuhz zinapigwa mpaka redioni utasemaje zimepotea njia!!
 
Singeli Muziki usiokuwa na maadili kbs ufutike kabisa Tanzania kwa afya ya watoto wetu na vizazi vijavyo.
Huku uswazi shughuli bila singeli hatukuelewiii !!!! Na huku ndio chimbuko lake........
 
"Nyerere was an outward-looking globalist who saw Tanzania as a leader in world affairs. Magufuli, on the other hand, is an inward-looking provincial nativist who wants a Tanzania for Tanzanians alone."
 
Unajua kuwa chuki ni mtoto wa dharau,so Kama mtoto wa nyoka ni nyoka ,maana yake ni kuwa unaudharau sana huo mziki.
 
Singeli Muziki usiokuwa na maadili kbs ufutike kabisa Tanzania kwa afya ya watoto wetu na vizazi vijavyo.
weka mate niteleze, papasa kichwa mjusi kafiri, wowowo, napakia mgando hizi ndizo zina afya kwa vizazi vijavyo nimekupata mkuu
 
hata mimi hua namshangaa sana mwanaume mzima kusikiliza taarab au singeli tena kwenye simu yake kazijaza top
 
Huo mziki Mimi hapana haujawahi kunishawishi kusikiliza na kudowload kwenye smartphone yangu,Never Never Never.
Jaribu tena kuusikiliza. Wasanii wa singeli wana kitu fulani on the making tuwape moyo . keeep on trying listen and listen again
 
Mbona katikati kuna watoto mi nataka watu wazimaaa🎵🎵
Mamaa mi nataka watu wazimaa🎵🎵

mabawaa,wanachezaje mabawaa,
Weka tena 🎵
We mabawaa...🎶

Mwaga maji tucheze kama kambalee🎶
Mwaga tena turuke kama kambalee

Hii ni sauti ya sholo mwamba mwamba geu nondo chuma stiliwayaa,twende mesen selektaa😁😁
 
Ni muziki wa kiswahiliswahili sana,uswahilini zinapeta sana.
 
Bado natamba mtaalamu wa kuramba. Nguo za mitumba naendelea kutinga january hadi disemba [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Makuu kuna mama mmoja anaufanyia master degree mziki wa singeri chuo kikuu cha Dodoma .
Na amekusanya data za kutosha kabisa nasubiri tasnifu yake tu
 
Back
Top Bottom