Haujapotea njia singeli zamani kuzisikia ni kwenye vigodoro huku kwetu uswazi miaka ya 2009 huko tena beat zile za taarabu wanazirudia sikuhz zinapigwa mpaka redioni utasemaje zimepotea njia!!Kwanza kabisa ulichokisema kina ukweli kwa asilimia kubwa sana .
Kwa kiwango kikubwa kwa sasa mziki wa singeri umepotea njia kwa kiasi kikubwa sana hii inatokana na gemu kuingiwa na wapiga dili wengi .
Huku uswazi shughuli bila singeli hatukuelewiii !!!! Na huku ndio chimbuko lake........Singeli Muziki usiokuwa na maadili kbs ufutike kabisa Tanzania kwa afya ya watoto wetu na vizazi vijavyo.
weka mate niteleze, papasa kichwa mjusi kafiri, wowowo, napakia mgando hizi ndizo zina afya kwa vizazi vijavyo nimekupata mkuuSingeli Muziki usiokuwa na maadili kbs ufutike kabisa Tanzania kwa afya ya watoto wetu na vizazi vijavyo.
Jaribu tena kuusikiliza. Wasanii wa singeli wana kitu fulani on the making tuwape moyo . keeep on trying listen and listen againHuo mziki Mimi hapana haujawahi kunishawishi kusikiliza na kudowload kwenye smartphone yangu,Never Never Never.
Kwenye taarabu buana hunitoi..Ata use tisshata mimi hua namshangaa sana mwanaume mzima kusikiliza taarab au singeli tena kwenye simu yake kazijaza top
Mwenyewe siuelewagi,nimewaachia watoto wa mjini kwakwelHuo mziki Mimi hapana haujawahi kunishawishi kusikiliza na kudowload kwenye smartphone yangu,Never Never Never.
tatizo sio kila mtu anasikio la mziki mkuu.Jaribu tena kuusikiliza. Wasanii wa singeli wana kitu fulani on the making tuwape moyo . keeep on trying listen and listen again
Unanitega shemeji by msaga sumu ngoma hatari sana hiyo kakaHuo mziki Mimi hapana haujawahi kunishawishi kusikiliza na kudowload kwenye smartphone yangu,Never Never Never.
Mziki wa kihuni ndio nini dadaye?Ningekua kiongozi ningepiga marufuku huo mziki, siupendi hata kidogo.
Ni mziki wa ki-uhuni sana