Wasanii wa Tanzania jifunzeni kustaafu, bongo mziki bado sio biashara ya kudumu

Ila Kwa staili hii ya siasa ya UCHAWA na kuabudu, kama itaendelea basi ndani ya miaka 10 ijayo bunge litajaa wasanii na wachekeshaji
 
Kwani walikuomba ushauri?
 
Wabongo wengi hawawezi kuachiana nafasi kila mtu aishi anavyoona sawa.

Mtu baki tu, humjui, hakujui, hajui maisha yako yakoje, hajui unataka nini kutoka maisha haya, anajiona ana haki ya kukushauri na kukupangia maisha.

How? Why?

Haya ni masalia ya Ujamaa au ujinga wa kawaida tu?

Juma Nature akiwa na ndoto za alinacha za kujaza ukumbi mpaka leo wewe inakuhusu nini?

Unapungukiwa au kuongezewa kipi?

Watanzania wengi kama mtoa mada wanaoenda kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo wasiyoyaelewa.
 
Acha wazee wawape watoto the right key...
Wajue kuimba na live baand kama TID anavyotaka...
 
We jamaa hebu badili uraia uwe kabisa wa huko huku tunafatiliana ndo mila zetu ww na mila za usa uko sawa usiingilie mambo ya waafrica no body whats your lonely stressful tax paying donkey life in usa.haya unasema tusifatiliane je ww kwa nn unafatilllia mambo ya mm kufatilia waafrica wenzangu?? Mm nimefatilia wazungu wenzio?
Tatizo mkisha kula makuku ya kisasa mnafikili sisi tunawaona standard who kwenye wanaofirwa huko?
Kaka maisha ya ujamaa ndivo isemavyo katiba yetu na ujamaa umeasiliwa kwenye utamaduni wa muafrica mm nikimuona mwana wa rafiki anakosea namchapa kama wangu usihoji na mm ntahoji usagaji as long as shit doesnt happen in africa i consider any non african free to their own cause hata wakitaka ***** mm ntawaunga mkono its called american pride.

Huku we are free beings and kufatiliana .ujamaa.umbea.kulewa .mitala tumechagua na ndo african pride stay away from our ways
 

Attachments

  • VID-20250405-WA0034.mp4
    13.1 MB
Acha wazee wawape watoto the right key...
Wajue kuimba na live baand kama TID anavyotaka...
At least tid anapata hata laki mbili akipiga show maana hana familia inamtosha .na kwa uteja ule afanye nn mtaan
 
Wewe umeweka mambo haya public forum ili yajadiliwe, kujadili ni ada.

Lakini wewe umejipa umuhimu kwenye maisha ya watu ambao hawakujui, huwajui,hawakujali, hawajakuomba ushauri, sababu za kuwafanya waishi hivyo huzijui, hujaongea nao.

Wewe unayetukana bila mpango, unayefanya ad hominem attacks na kufuatilia maisha ya watu bila sababu na mimi niliyetulia nakueleza hayo si maisha nani ana stress hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…