Wasanii wa Tanzania jifunzeni kutoka kwa msanii Genevieve wa Nigeria

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
IMG_20190112_130857.jpg

Genevieve Nnaji has become Nollywood’s first Billionaire as Netflix reportedly buys her movie LionHeart for $3.8million (N1,051,297,231).

Historic. 🇳🇬
 
Hajajichubua wala kujiwekea mapambo ya kimalaya kama hawa bongo muvi wanaibadilika rangi kila mwaka, tafuta picha za miaka kumi iliyopita za bongo muvi wote waume kwa wake wamekua weupe, kuna yule punga alijitetea eti kisa anakunywa sana maji utasema genevive hanywi maji!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 992409

Historic. [emoji1184]
Wa bongo limbukeni imezidi na roho ya ubinafusi ndomaana nivigumu kufanikiwa zaidi ya kununua gari ya kifahari na kujenga kajumba ka gharafa moja......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajajichubua wala kujiwekea mapambo ya kimalaya kama hawa bongo muvi wanaibadilika rangi kila mwaka, tafuta picha za miaka kumi iliyopita za bongo muvi wote waume kwa wake wamekua weupe, kuna yule punga alijitetea eti kisa anakunywa sana maji utasema genevive hanywi maji!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyusi kama ng'ombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 992409
Genevieve Nnaji has become Nollywood’s first Billionaire as Netflix reportedly buys her movie LionHeart for $3.8million (N1,051,297,231).

Historic. [emoji1184]

Naona ni bilioni ya naira!

Nilidhani ni bilioni ya dollar nikasema atakua ameuza uchi kiasi aisee!

Ila iko poa kavuta karibia 4mil USD sio haba kabisa!
 
Back
Top Bottom