Wasanii wa Tanzania jifunzeni kutoka kwa msanii Genevieve wa Nigeria

Wasanii wa Tanzania jifunzeni kutoka kwa msanii Genevieve wa Nigeria

Huyu dada alivuma sana kipindi kile cha ujana wake kwa michezo 0713 .....
 
Mbona ata Wema sepedele kauza sana copies za ela ote dingilae kwenye movie yake na Van vicker ila hapendagi Show Off


Wema si kama hapendi show off it's because hana hizo hela unazohisi wewe anazo....she's dead broke and living a damn fake life. Yeye ni mtu wa mizinga tu, siku zote....hana hili wala lile na ndiyo maana wenzake wanamcheka tu.
 
Hajajichubua wala kujiwekea mapambo ya kimalaya kama hawa bongo muvi wanaibadilika rangi kila mwaka, tafuta picha za miaka kumi iliyopita za bongo muvi wote waume kwa wake wamekua weupe, kuna yule punga alijitetea eti kisa anakunywa sana maji utasema genevive hanywi maji!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi amini lile Punga lililosema linakuwa jeupe sababu ya kunywa maji asa ivi amerudia Rangi yake ya asili..asa sijui amekunywa nini tena.
 
Acha uboya wewe huyo ni Mtanzania? (ana mabwana wangapi na mmojawapo katembelea TZ)
ninyi ndio mnakuja kukataa kabila lako, unamkataa mzazi wako utaifa wako ili kujikweza
unaikataa Nchi yako unasifia Timu ya mpira ya nchi nyingine mavazi na hata akili
kwanini huo uzalendo usiwaletee wasanii wetu
mm nimekuambia angalia na upande wa pili wa huyo Dada hata km ana maendeleo ametembea na wangapi hata mume aliyezaa naye hamjui unona ni sifa zungumzia na wasanii wetu wafikie huko MSIWALAUMU

We jamaa wewe, Mbona Tanzania Sweetheart katembea na wengi na hajasogea popote.
Hapa tunaangalia ubora wakazi na sio maisha yake .
 
Back
Top Bottom