Pre GE2025 Wasanii wa Tanzania mbona hawakemei utekaji na mauaji yanayoendelea nchini?

Pre GE2025 Wasanii wa Tanzania mbona hawakemei utekaji na mauaji yanayoendelea nchini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawa wenzetu wanajionaga wapo tofaut na sisi au? Yani wao wana ulimwengu wao wa kuishi ni kama wametutenga Ila sisi jamii ndo tunajipendekeza kwao

Kwasababu wao wakiumwa hutaskia Samia wala spika kuwachangia Ila wanakuja kwetu walalahoi kutembeza vibakuli tuwachangia, watu wanaotekwa tunapaza sauti sisi tu wao ni kuslide tu kama hawaoni vile

Ni tofauti na nchi zingine kama Kenya, Uganda, marekani, Canada na nchi zote za ulaya. Hii misanii yetu niyahovyo haina akili yapo kama mazuzu, matahila Hayajitambui. Shez zao
UCHAWA inasababishwa na NJAA!
USIWALAUMU!
 
Wanafki sana, Kwenye issue ya maandamano kenya kila "msanii mpumbavu" alionekana kuguswa na kupost

Ila kwa mambo ya hapa nyumbani yanakuwa majinga tuu.

Hata media za bongo nazo ujinga mtupu kabisa mtu anapata airrtime anaanza kunadi na kujibizana vitu ambavyo kwa nchi za wenzetu hata burundi tuu wanatushangaa
Nchi za wenzetu leo headline ya vyombo vyote vya habar ingekuwa ni mambo ya utekaji tuu
 
Wanasubiri upepo kwanza, mwaka ujao ni mwaka wa kupiga pesa kwenye kampeni, akikaa vibaya atapishana na gari ya mshahara.
 
Hawa wenzetu wanajionaga wapo tofauti na sisi au? Yani wao wana ulimwengu wao wa kuishi ni kama wametutenga Ila sisi jamii ndo tunajipendekeza kwao.

Kwasababu wao wakiumwa hutaskia Samia wala spika kuwachangia Ila wanakuja kwetu walalahoi kutembeza vibakuli tuwachangia, watu wanaotekwa tunapaza sauti sisi tu wao ni kuslide tu kama hawaoni vile.

Ni tofauti na nchi zingine kama Kenya, Uganda, Marekani, Canada na nchi zote za ulaya. Hii misanii yetu ni ya ovyo haina akili yapo kama mazuzu, matahila Hayajitambui.
Watekaji wenyewe ndio ukute hao hao wasanii.. huwezi jua
 
Back
Top Bottom