Wasanii wa Tanzania wagombania kupiga picha na msanii Wizkid!

Lazima achukue mtoto Shilole hapo, subiri aone mauno kwanza.
 
Hahahaaa shishi baby ananifurahishaga, eti "hey u see me" [emoji23] [emoji23] wiz kid kaz anayo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan kati ya watu wanaonichekeshaga ni shilole aongee kitu lokosekane neno la kukuchesha mh sijawahi ona jaman sasa hapo kwa wizkid kumuuza do you see me kulikuwa na haja gani wakati wako wote dada shishi bado unasafari ndefu ya kiingereza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] mm nimecheka sana a see, alafu yeye hata hajali na mbroken yake
 
Back
Top Bottom