PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Diamond hapatikani ovyo kama nyanya.[emoji41] [emoji41]Mbona hawagombanii kupiga picha na diamond
huyo mwenye ziwa km kinu? teh teh teh ata muua kwa kumziba pumzi mtoto wa watu...!Lazima achukue mtoto Shilole hapo, subiri aone mauno kwanza.
Hahahaha shishi bebe sure boy kazi anayoHahahaaa shishi baby ananifurahishaga, eti "hey u see me" [emoji23] [emoji23] wiz kid kaz anayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha shishi bebe sure boy kazi anayo
Yaan kati ya watu wanaonichekeshaga ni shilole aongee kitu lokosekane neno la kukuchesha mh sijawahi ona jaman sasa hapo kwa wizkid kumuuza do you see me kulikuwa na haja gani wakati wako wote dada shishi bado unasafari ndefu ya kiingereza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan kati ya watu wanaonichekeshaga ni shilole aongee kitu lokosekane neno la kukuchesha mh sijawahi ona jaman sasa hapo kwa wizkid kumuuza do you see me kulikuwa na haja gani wakati wako wote dada shishi bado unasafari ndefu ya kiingereza
[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] mm nimecheka sana a see, alafu yeye hata hajali na mbroken yakeYaan kati ya watu wanaonichekeshaga ni shilole aongee kitu lokosekane neno la kukuchesha mh sijawahi ona jaman sasa hapo kwa wizkid kumuuza do you see me kulikuwa na haja gani wakati wako wote dada shishi bado unasafari ndefu ya kiingereza