Wasanii wa Tanzania waliofanya vizuri 2017

Tukiangalia total achievement anaongoza diamond..
Tukiangalia achievement rate in aslay full stop
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umepewa kibali chakufacha utafiti,? King wa music hata kwenye list hayupo? Umesahau kama Kiba Video yake ya Seduce Me: ndio iliyokuwa video bora katika mwaka huu views milion 2.ndani ya siku 2 Ingetosha kabisa. Kupampa kiba na 1 mashabika tunataka Hits Song nyimbo zanazoeleweka

Embu niwekee Kiba namba1 apo izo taka weka pembeni
 
Upuuzi mtupu eti wimbo wa Ngarenaro umetengenezwa kwenye studio ya rayvanny wakati umetengenezwa MJ Records acha ushabiki maandazi usiokuwa na facts
 
Nandi amefanya vizuri sana kwa mwaka huu ametoa nyimbo nzuri tu, mafanikio ninachojuwa ameshinda tuzo ya mwimbaji bora wa kike Africa Mashariki
 
Upuuzi mtupu eti wimbo wa Ngarenaro umetengenezwa kwenye studio ya rayvanny wakati umetengenezwa MJ Records acha ushabiki maandazi usiokuwa na facts
Mkuu umebisha utadhani ww una fact. nyimbo inaanza tu wanasema surprise ikimaanisha surprise music studio ya rayvanny, kasikilize vizuri na utafute hizo fact.unaweza tumia google kuweka hoja zako vizuri.
 
Upuuzi mtupu eti wimbo wa Ngarenaro umetengenezwa kwenye studio ya rayvanny wakati umetengenezwa MJ Records acha ushabiki maandazi usiokuwa na facts
Sikiliza nyimbo inavoanza wewe...Jina la studio limetajwa hadi jina la producer "Rash Don!!"
 
Mkuu umebisha utadhani ww una fact. nyimbo inaanza tu wanasema surprise ikimaanisha surprise music studio ya rayvanny, kasikilize vizuri na utafute hizo fact.unaweza tumia google kuweka hoja zako vizuri.
Afadhali,mwambie aisee!!Amekalili!!Sad enough hadi jina la producer limetajwa!!Anajibu kubisha hoja bila kuwa na uhakika,Shame!!
 
Nandi amefanya vizuri sana kwa mwaka huu ametoa nyimbo nzuri tu, mafanikio ninachojuwa ameshinda tuzo ya mwimbaji bora wa kike Africa Mashariki
Yeah...Ni mafanikio pia!!
 
Eeeeh...Nisipinge wazo lako ila proove hata kwa vitu vitatu vinavyokufanya umtaje kwenye list!!
Nafanya show mbili kubwa za one Africa music festival,show za nje nyingi tu,kaachia wimbo ambao ulitingisha Tanzania na kuvuka mipaka ya seduce me na kuchukua tuzo za kimataifa una kingine cha kuuliza?
 
Hallelujah ilitengeneza views ngapi kwa muda huo huo ambao seduce me ilitengeneza 2M views mkuu???In 15 hours ilikua na 1M views ndio rekodi kiubwa hio...
 
Nafanya show mbili kubwa za one Africa music festival,show za nje nyingi tu,kaachia wimbo ambao ulitingisha Tanzania na kuvuka mipaka ya seduce me na kuchukua tuzo za kimataifa una kingine cha kuuliza?
Dubai ulienda???
 
Unaweza ukawa unamiliki Simu mbili na mtu anamiliki moja lakini ni bora kuliko zako....Fact!
Usibishe mkuu Alikiba amefanya vizuri mwaka huu na kitendo cha kuwa msanii pekee kufanya show 2 za festival si ya kitoto otherwise usipokubali basi una ushabiki na diamond ndo maana unabishana na facts nlizokupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…